HIMID MAO MKAMI AWATAKA SIMBA KUJIANDAA NA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KESHO JUMAMOSI
HIMID Mao Mkami ndiye kiungo anayehofiwa zaidi na washabiki wa Simba tangu alipokatisha ndoto yao ya kubeba kombe la mapinduzi visiwani Zanzibar baada ya kupiga shuti kali la kushtukiza katika mchezo...
View ArticleROONEY ‘KUREJEA’ OLD TRAFFORD SEPTEMBA 17 …kesi yake kuunguruma Septemba 18
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney akiwa na kikosi cha Everton, atarejea Old Trafford Jumapili ya Septemba 17 kukabiliana na timu yake hiyo ya zamani.Mechi hiyo itakuwa ya kwanza kwa...
View ArticleBEKI MPYA WA YANGA APANIA KUMPAGAWISHA KOCHA LWANDAMINA
BEKI mpya wa Yanga, Fiston Kayembe ameanza kazi ya kujifua na kikosi hicho lakini haraka akatema cheche akisema atakaop saini mkataba jangwani ana uhakika atakuwa kikwazo cha washambuliaji nyota wa...
View ArticleOJM FILM WAANZA KUUZA UPYA MUVI ZAO ZA NYUMA
KAMPUNI ya OJM Film Company imeamua kuanza kuuza upya kazi zao za zamani ili kukidhi matakwa ya mashabiki wao waliowaomba kufanya hivyo.Akiongea na Salutimwandishi wetu jijini Dar es Salaam jana, bosi...
View ArticleCHINA ZAHOR WA BONGOMUVI APATA AJALI YA PIKIPIKI
STAA wa Bongomuvi, China Zahor ameponea chupuchupu kwenye ajali mbaya ya pikipiki iliyomtokea Jumatano maeneo ya Gerezani, jijini Dar es Salaam, katika makutano ya barabara ya Kilwa na ile iendayo...
View ArticleZANZIBAR STARS YAZIDI KUIPASUA DDC KARIAKOO
BENDI ya Zanzibar Stars Modern Taarab ambayo imerejea kwa kishindo kwenye anga la muziki wa dansi, imeonekana kuzidi kukubalika kwa kasi kutokana na mashabiki kufuria kwa wingi ndani ya DDC Kariakoo...
View ArticleRASHID PEMBE KUREKODI UPYA NYIMBO ZAKE ZA VIJANA JAZZ
MKONGWE wa Saxaphone ‘Domo la Bata’, Rashid Pembe yuko mbioni kuzikusanya upya nyimbo zake zote alizotunga akiwa na bendi ya Vijana Jazz Band na kuingia Studio kuzirekodi upya, imefahamika.Akiongea na...
View ArticleYANGA YAILAMBA NJOMBE MJI LAKINI ULIMI NJE …Ajibu afunga bao la ‘kideoni’
Yanga SC imevuna pointi tatu muhimu baada ya kuichapa Njombe Mji 1-0 katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu ya Vodacom.Katika mchezo huo uliochezwa mjini Njombe kwenye uwanja wa Sabasaba, alikuwa ni...
View ArticleCRYSTAL PALACE YAWEKA REKODI MPYA PREMIER LEAGUE …yafikia pia rekodi ya mwaka...
Crystal Palace inakuwa timu ya kwanza katika historia ya Premier League kufungwa mechi zote nne za mwanzo wa ligi na pia kushindwa kudumbukiza wavuni hata goli moja.Hali hiyo pia inakiweka pabaya...
View ArticleNEYMAR AFICHUA SABABU ZA KUITEMA BARCELONA NA KUJIUNGA NA PSG
NEYMAR amedai kuwa ameitema Barcelona na kujiunga na Paris Saint-Germain kwaajili ya kushinda taji la Champions League.Mshambuliaji huyo wa Brazil amesema PSG ina nafasi kubwa ya kutwaa Ligi ya...
View ArticleMAPACHA WATATU YA CHOKORAA YAPATA TENDA ‘USHUANI’ HOLIDAY INN HOTEL
Bendi ya Mapacha Watatu Original inayoongozwa na mwimbaji Khalid Chokoraa, kuanzia Jumamosi hii itakuwa ikipatikana katikati ya jiji la Dar es Salaam kwenye moja ya hotel kubwa za kitalii.Chokoraa...
View ArticleWENGER ASEMA KYLIAN MBAPPE NI PELE MPYA
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amemuelezea kinda wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe kama 'Pele mpya'.Akiongea na beIN SPORTS, Wenger akadai mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 18 ana vigezo...
View ArticleAYA 15 ZA SAID MDOE: TULIKUPENDA SANA MANGO GARDEN LAKINI MWEKEZAJI...
Hakuna jambo linaloumiza kama kuondokewa, kupotelewa au kuvunjika kwa huduma ambayo bado hujaichoka wala kuikinai na inatesa zaidi hasa unapokosa uhakika wa mbadala wake. Zaidi ya miaka mitatu...
View ArticleNEMANJA MATIC AKERWA NA SARE YA STOKE CITY ...asema 'ukitaka kuwa bingwa...
Nemanja Matic anaamini Manchester United inahitaji kushinda mechi kama za Stoke City iwapo inahitaji kutwaa taji la Premier League.Kikosi cha Jose Mourinho kilianza msimu kwa kishindo na kushinda...
View ArticleFRANK DE BOER ATIMULIWA CRYSTAL PALACE NA KUUNDA REKODI ZA AJABU
Kocha wa Crystal Palace, Frank de Boer ametimuliwa baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa siku 77 pekee na sasa nafasi yake itachukuliwa na kocha wa zamani wa England, Roy Hodgson.De Boer, 47, kocha wa...
View ArticleCHAMBERLAIN ASEMA KLOPP ALIMVUTA KUTUA LIVERPOOL
MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Arsenal, Alex Chamberlain amesema kuwa Klopp alikuwa sehemu kubwa ya ushawishi kwake kuhamia katika klabu ya Liverpool.Alex Oxlade-Chamberlain amebainisha kuwa uwezo...
View ArticleKIUNGO WA NAPOLI AJUTIA KUSHINDWA KUKAMILISHA KUTUA MAN UNITED
KIUNGO wa timu ya Napoli, Marek Hamsik mwenye miaka 30, amejuta kushindwa kufanikisha uhamisho wa kutua katika kikosi cha Manchester United baada ya dirisha kufungwa.Kiungo huyo ameripotiwa akisema...
View ArticlePIUS BUSWITA AAHIDI MABAO MENGI YANGA SC
BAADA ya kutoka jela ya soka kwa kuruhusiwa kucheza Yanga, mshambuliaji Pius Buswita ametamba kuifanyia makubwa klabu yake hiyo.Mshambuliaji huyo amesema atahakikisha analipa fadhila kwa kuifungia timu...
View ArticleWESTHAM YAMNG'ANG'ANIA MCHEZAJI WA SPORTING LISBON
KLABU ya Westham imepanga kukamilisha usajili wa nyota wa Sporting Lisbon, William Carvalho mwenye miaka 25, katika dirisha dogo la usajili.Westham ilimkosa kiungo huyo katika dirisha hili baada ya...
View ArticleJA RULE APANIA KUREJEA KWENYE GEMU LA MUZIKI KWA KISHINDO
STAA aliyeanza kufutika kwenye medani ya muziki nchini Marekani, Ja Rule amepanga kurudi tena kwa kishindo baada ya kutangaza kufanya shoo kubwa katika mji wa Honolulu.Ja Rule amepanga kuambatana na...
View Article