DE GEA AMPIGIA NDOGONDOGO SERGIO RAMOS UNITED
MLINDA mlango wa Manchester United, David de Gea ameripotiwa kuanza kampeni za kumshawishi beki wa Real Madrid, Sergio Ramos kutua Old Trafford.Beki huyo aliwahi kuwindwa na Manchester United enzi za...
View ArticleLWANDAMINA ANOGEWA NA FISTON KAYEMBE... aushawishi uongozi wa Yanga...
KOCHA wa Yanga, George Lwandamina amelazimika kusafiri na beki wake mpya, Fiston Kayembe lakini mazoezi ya siku mbili wakiwa Njombe yakamaliza ubishi kwamba beki huyo anatakiwa kupewa mkataba...
View ArticleMAN CITY YACHEMSHA KWA SANCHEZ
KLABU ya Manchester City imeripotiwa kujitoa katika mbio za kumwania mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez ambaye aligoma kuongeza muda wake Emirates.Sanchez mwenye miaka 28, amekuwa akiwindwa na Pep...
View ArticleALICIA KEYS AWAPONDA MADEMU WA KIMAREKANI AKISEMA HAWAJIAMINI
ALICIA Keys, staa anayetajwa kuwa na mvuto wa kimapenzi nchini Marekani amesema kuwa wanawake wengi wa taifa hilo hawajiamini kiasi cha kutumia gharama kubwa ili kubadilisha mionekano yao ya asili na...
View ArticlePEREZ AGOMA CRISTIANO RONALDO KUSEPA REAL MADRID
RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez amefunguka kuwa Cristiano Ronaldo hawezi kuondoka katika timu hiyo kwa miaka ya hivi karibuni.Perez amekanusha vikali taarifa za majira ya joto kuwa Cristiano...
View ArticleJINAMIZI LA TALAKA LAMWANDAMA ANGELINA JOLIE WA HOLLYWOOD
STAA wa filamu nchini Marekani, Angelina Jolie amesema kuwa amepitia wakati mgumu kipindi alichotangaza kudai talaka kwa mume wake, Brad Pitt ambaye pia ni mcheza filamu.Jolie amesema kuwa...
View ArticleFENERBAHCE YAMTAKA DIEGO COSTA KWA MKOPO
KLABU ya Fenerbahce ya Uturuki imefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa kuhusu uwezekano wa kumchukua kwa mkopo.Costa mwenye miaka 28, amesalia nchini Brazil baada ya...
View ArticleNE-MO AJA KIVINGINE KUISHIKA RnB YA BONGO KWA WIMBO MKALI “KIPOTABO”
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Shaban Mpute 'Ne-Mo' (pichani) amesema amedhamiria kurudi katika familia ya muziki kivingine, huku akitarajia kuachia wimbo wake mpya unaitwa 'Kipotabo' Septemba 19...
View ArticleCRISTIANO RONALDO AIBUA UPYA MJADALA WA KUREJEA PREMIER LEAGUE
CRISTIANO RONALDO ameibua upya uwezekano wake wa kurejea England na kucheza katika Premier League baada ya kukwazwa na suala lake la kodi ya mapato Hispania.Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAANZA KWA USONGO CHAMPIONS LEAGUE KWA KUIKALISHA BASLE 3-0...
Manchester United imeanza kwa usongo mkubwa Ligi ya Mabingwa baada ya kuichapa Basle ya Uswisi 3-0 katika mchezo mgumu wa kundi A.Katika mchezo huo uliopigwa Old Trafford, United ikampoteza kiungo wake...
View ArticleCHELSEA USIPIME!! YAIFANYIA MAUAJI QARABAG 6-0 ...Roma, Atletico Madrid...
Qarabag ya Azerbaijani imekutana na kimbunga cha Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kukubali kichapo cha bao 6-0 kwenye mchezo wa kundi C uliochezwa Stamford Bridge.Mabao ya Chelsea yaliwekwa...
View ArticlePSG YAIINGIZA DARASANI CELTIC KWA KISAGO CHA 5-0, NEYMAR, MBAPPE, CAVANI WEE...
Neymar, Kylian Mbappe na Edinson Cavani wameiongoza Paris Saint-Germain kwenye ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Celtic katika mchezo wa Champions League wa kundi B.Wakati Cavani akifunga mara mbili,...
View ArticleHATIMAYE MESSI AVUNJA MWIKO WA GIANLUIGI BUFFON BARCELONA IKIICHAPA JUVENTUS...
Hatimaye kipa Gianluigi Buffon wa Juventus amefungwa na Lionel Messi kwa mara ya kwanza wakati miamba hiyo ya Italia ikisalimu amri mbele Barcelona kwa kufungwa 3-0.Katika mchezo huo wa kundi D wa Ligi...
View ArticlePIGO MANCHESTER UNITED ...PAUL POGBA 'OUT' WIKI TATU
Paul Pogba huenda akakosekana uwanjani kwa wiki tatu au zaidi baada ya kupata maumivu ya misuli ya paja kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Basle.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 alitolewa...
View ArticleGUARDIOLA AMPA MAKAVU YAYA TOURE ASEMA BADO HASTAHILI KUCHEZA HATA DAKIKA...
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema Yaya Toure bado hajafanya juhudi zozote mazoezini kuthibitisha kuwa anastahili kucheza japo kwa dakika moja msimu huu.Guardiola amemuengua kiungo huyo...
View ArticleJAHAZI WAJA NA USIKU WA KUKUMBUKA ZAMANI …Khadija Yussuf, Bi Mwanahawa Ali...
Jahazi Modern Taarab, Jumamosi hii itajitosa ndani ya ukumbi wa Dar Live kwa onyesho maalum la kukumbuka zamani ambapo nyota kibao waliopata kuitumikia bendi hiyo watashiriki onyesho hilo.Mwanamama...
View ArticleAUDIO: SIKILIZA REMIX YA “MWANAUME MASHINE” KUTOKA MSAGA SUMU NA NAMCY VANA
Ile ngoma inayosumbua sana Bongo “Mwanaume Mashine” kutoka kwa Msaga Sumu, sasa imekuja kivingine.Safari hii inanogeshwa na sauti tamu ya mwadada hatari Namcy Vana kwenye bonge la ‘remix’ ya wimbo huo...
View ArticleNEYMAR AKATAA KUPEANA MKONO NA KUBADILISHANA JEZI NA BEKI ALIYEMCHEKA
Neymar amekataa kubadilishana jezi na kupeana mkono na Anthony Ralston baada ya beki huyo kinda wa Celtic kuonekana kumcheka mchezaji huyo ghali duniani.Ronald alicheza soka la kibabe upande wa beki...
View ArticleHIVI NDVYO FELLAINI ALIVYOJIBU KWA VITENDO SIFA KIBAO ALIZOPEWA NA MOURINHO
MarouaneFellaini jana alikuwa nyota wa mchezo wakati Manchester United ilipoiadhibu Basle 3-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.Fellaini aliyeingia dakika ya 19 kuchukua nafasi ya Paul Pogba...
View ArticleKICHUPA CHA "MOYO KAMA MACHO" YA KIVURANDE JUNIOR HICHOO
HII inaweza kuwa taarifa murua masikioni mwa mashabiki wa muziki wa mduara, hususan wale waliokipokea kwa mikono miwili kibao ‘Moyo Kama Macho’ cha mfalme wa Kibao Kata, Jumaa Kivurande ‘Kivurande...
View Article