Quantcast
Channel: saluti5
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHADIJA KOPA AACHA SIMULIZI SHOO YA ZANZIBAR STARS DDC KARIAKOO

KHADIJA Kopa ambaye ni Malkia wa mipasho anayetikisa barani Afrika, Jumanne iliyopita aliwacharusha vilivyo mashabiki wake ndani ya DDC Kariakoo pale alipopanda jukwaani na kutumbuiza kwa mbwembwe za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEYDON WA "SIO POA" AMUANIKA MKE WAKE MTARAJIWA

MKALI wa Bongofleva anayetamba sasa na kitu cha ‘Sio Poa’, Said Makamba ‘Seydon’ ameamua kujibu maswali ya mashabiki wake wanaohoji kuwa ataoa lini, baada ya kusema kuwa ameanza harakati za kuingia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VICTORIA SOUND YAPANIA KULITEKA ZAIDI SOKO LA MUZIKI WA DANSI

VICTORIA Sound ‘Wana Chukuchuku Style’ wamepania kuliteka zaidi soko la muziki wa dansi kwa kuhakikisha wanaangusha kazi kali zitakazobamba zaidi kwa mashabiki kote nchini.Jonas Mnembuka ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOTTENHAM YAIFANYIA KITU MBAYA BORUSSIA DORTMUND … Harry Kane kama kawa

Ikicheza kwenye dimba la Wembley, Tottenham imeichakaza timu ngumu ya Borussia Dortmund 3-1 katika mchezo mkali wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.Harry Kane aliendelea kung’ara baada ya kupachika mabao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL MAJI YA SHINGO KWA SEVILLA

Liverpool imelazimishwa sare ya 2-2 na Sevilla ya Hispania katika mchezo wa kundi E wa Champions League.Kwa matokeo hayo Liverpool inakuwa timu pekee kutoka England iliyokosa ushindi katika mechi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER CITY WEMBE ULE ULE, YAIONYOA FEYNOORD 4-0

Sentahafu kinda John Stones amefunga mara mbili wakati Manchester City ikifanya maangamizi ya bao 4-0 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi.Katika mchezo huo wa Champions League, mabao mengine ya City...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRISTIANO RONALDO AREJEA NA MAKALI YAKE ...Sergio Ramos naye balaa

Cristiano Ronaldo amarejea kwa kishindo kutoka kwenye adhabu yake ya kufungiwa mechi tano baada ya kutupia wavuni magoli mawili wakati Real Madrid ikiichapa APOEL Nicosia 3-0 kwenye mchezo Ligi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASI ALIYOANZA NAYO IBRAHIM AJIBU YANGA YAWASHITUA MASHABIKI WA SIMBA

MASHABIKI wa Simba wameonekana kuanza kushitushwa na kuanza kufunga kwa mshambuliaji wao wa zamani, Ibrahim Ajibu na sasa wanaonekana kukosa raha kila wanaposikia jina la mshambuliaji huyo.Ajibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ISCO AKANA KUKUTANA NA MOURINHO KUHUSU UHAMISHO WA KUTUA UNITED

KIUNGO wa timu ya Real Madrid, Isco amesema hakuwahi kukutana na Jose Mourinho ili kuzungumzia uhamisho wa kwenda Manchester United.Isco amesaini mkataba mwingine Real Madrid huku taarifa zikidai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA WA MBAO FC AANZA VISINGIZIO MCHANA MCHANA

KOCHA wa timu ya Mbao FC, Etienne Ndayiragije amesema kuwa sababu ya kuanza kwa kusuasua kwa kikosi chake ni uwepo wa namba kubwa ya wachezaji vijana ambao hawana uzoefu na michuano ya Ligi.Kocha huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GUARDIOLA ASIKITIKA KUMKOSA BEKI JONNY EVANS ALIYETUA WEST BROM

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola ameripotiwa kuonyesha kusikitishwa kwake na kitendo cha kumkosa beki Jonny Evans.Manchester City ilikuwa ikimwania beki huyo kwa nguvu lakini klabu ya West Brom...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OKWI SASA YUKO GADO KUWAGONGA MWADUI FC

MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi yuko fiti kupambana katika mechi ya Jumapili hii dhidi ya wachimba almasi wa Mwadui FC kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.Habari kutoka katika kambi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LWANDAMINA ADUWAZWA NA UWANJA WA NJOMBE, AISHANGAA TFF

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina ameshangazwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuruhusu soka kuchezwa katika uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe kisha akawaambia mashabiki wa Yanga “Tulieni, dozi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL 'WAZEE WA ALHAMISI' WAANZA NA MKWARA MZITO EUROPA LEAGUE ...Everton...

Arsenal imeanza kwa kishindo michuano ya Europa League baada ya kuitungua Colgne ya Ujerumani 3-1 ndani ya dimba la Emirates ambalo lilitawaliwa na vurugu nyingi za mashabiki wa Colgne waliosafiri na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGUERO NA JESUS 'PACHA' HATARI ZAIDI PREMIER LEAGUE

Wakati hapo mwanzo ilihofiwa kuwa mmoja wao angeusugua benchi, hatimaye imebainika kuwa washambuliaji Sergio Aguero na Gabriel Jesus wa Manchester City ndio pacha hatari zaidi Premier...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POGBA KUKOSA ZAIDI YA MECHI NNE ZA MANCHESTER UNITED …Ufaransa pia kumkosa...

Habari hizi si njema kwa Manchester United. Kiungo Paul Pogba atakuwa nje ya dimba kwa mwezi mzimma baada kuumia kuumia misuli ya paja wakati wa mechi ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Basel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARCUS RASHFORD ALIA NA PENGO LA PAUL POGBA

Mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford amesema kuumia kwa Paul Pogba ni pengo kubwa lakini anaamini ukubwa wa kikosi cha Muorinho utasaidia kupunguza makali ya pengo hilo.Pogba ameumia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REAL MADRID BADO WANG'ANG'ANA NA SAINI YA DAVID DE GEA

ULE msemo wa “atafutae hachoki na akichoka keshapata” unaweza kutumika vizuri kwa Real Madrid ambao wamepanga kurejea kwa kishindo mwezi Januari wakisaka saini ya De Gea.Real Madrid kwa muda mrefu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABDI BANDA AZIDI KUTAKATA AFRIKA KUSINI

BEKI wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Hassan Banda ameonekana kuwa lulu katika kikosi chake cha Baroka FC ya nchini Afrika Kusini alikohamia akitokea Simba na sasa amekuwa akipiga dakika zote tisini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"MNENE" WA REAL MADRID AKIRI KUMSAJILI LIONEL MESSI NI SHUGHULI PEVU

BOSI wa Real Madrid, Frolentino Perez amesema kuwa suala la kumsajili staa wa Barcelona, Lionel Messi haliwezi kutokea kirahisi.Perez amesema kuwa kipindi cha nyuma wakati Messi anakua, walikuwa na...

View Article
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>