SURE BOY AZITAKA KLABU ZISIIHOFIE SIMBA SC
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar “Sure Boy” amezitaka timu ambazo bado hazijacheza na Simba, zisiihofie kwani ni timu ya kawaida sana kama zilivyo timu nyingine na kama zitakaza zinaweza...
View ArticleDAVID SILVA HUYOO FENERBAHCE UTURUKI
VYOMBO vya habari nchini England vimeripoti kuwa kiungo David Silva yuko mbioni kutua katika klabu ya Fenerbahce ya nchini Uturuki.Silva amekuwa kwenye wakati mgumu nchini England baada ya kukosa namba...
View ArticleKUFA KUFAANA ...HERRERA APATA MATUMAINI MAPYA MAN UNITED BAADA YA KUUMIA POGBA
Kuumia kwa Paul Pogba kunaweza kufungua mlango kwa kiungo anayesugua benchi Manchester United, Ander Herrera.Kiungo huyo wa Kihispania ana kazi kubwa ya kumshawishi Mourinho ili kurejea kwenye kikosi...
View ArticleSHABAAN YOHANA 'WANTED' ALIYETAMBA NA VIJANA JAZZ AFARIKI DUNIA BOTSWANA
MCHARAZAJI nguli wa gitaa la Solo, Shaaban Yohanna “Wanted” (Pichani) amefariki dunia jana nchini Botswana alikokuwa akifanya shughuli zake za muziki.Mwanamuziki wa African Stars “Twanga Pepeta”,...
View ArticleMPINZANI WA GENEVIEVE NNAJ ASEMA UKUBWA WA JINA LAKE HAUMUELEMEI HATA KIDUCHU
STAA mwenye mvuto nchini Nigeria ambaye anatajwa kuwa na upinzani na Omotola Jalade, Genevieve Nnaj, amesema kuwa hajawahi kusumbuliwa na ukubwa wa jina lake.Staa huyo amesema, kwanza haoni kama kuna...
View ArticleKAMUSOKO FITI KUIVAA MAJIMAJI
KIUNGO wa Yanga, Thabani kamusoko ameanza mazoezi na timu yake baada ya kuumia Jumapili katika mchezo wa Ligi KuuTanzania bara dhidi ya wenyeji Njombe Mji.Kamusoko alitoka uwanjani anachechemea baada...
View ArticleKOCHA NJOMBE MJI AJIPA MATUMAINI YA KUTUSUA LIGI KUU MSIMU HUU
LICHA ya kupoteza mechi mbili mfululizo, kocha wa Njombe Mji, Hassan Banyai amesema timu hiyo bado ina nafasi ya kufanya vizuri na kuwashangaza watu.Banyai amesema, kiufundi timu yao imecheza vizuri...
View ArticleTSHISHIMBI: OBREY CHIRWA NI MTAMBO WA MABAO YANGA
KIUNGO wa Yanga, Papii Tshishimbi amemuangalia mshambuliaji Obrey Chirwa na vitu vyake katika mazoezi kisha akasema kuwa sasa mwenye kazi yake amerudi na kwamba mtambo wa mabao umerejea.Tshishimbi...
View ArticleFRANK RIBERY ASEMA HAKUWAHI KUWAZA KUTUA PREMIER LEAGUE
WINGA mkongwe, Frank Ribery amesema kwamba hakuwa kwenye mpango wa kutaka kutua nchini England katika dirisha lililopita.Ribery amesema kuwa taarifa zilizokuwa zikimuhusisha kutaka kumalizia soka lake...
View ArticlePHARRELL ATIMIZA MIAKA 44 AKIONEKANA BADO KIJANA WA M IAKA 18!
MTAYARISHAJI na mtunzi wa muziki, Pharrell Williams ametimiza miaka 44 ya kuzaliwa kwake lakini muonekano wake ni kama kijana wa miaka 18!Staa huyo amesema kuwa anatumia maji kwa wingi na kufanya...
View ArticleAJIB ACHEKELEA MWANZO WAKE MZURI YANGA SC
MSHAMBULIAJI wa timu ya Yanga, Ibrahim Ajibu amesema anafurahi kuanza vizuri kuchezea timu yake hiyo mpya na kwamba bao alilofunga litamwongezea ari ya kufanya vyema kwenye mechi zinazokuja.Ajibu...
View ArticleEUCHARIA WA NOLLYWOOD AENDELEA KUOMBOLEZA KIFO CHA MWANAWE ALIYEFARIKI MWAKA...
STAA wa fiamu za Nigeria, Eucharia Anunobi bado anaendelea kuonyesha masikitiko kufuatia kumpoteza mtoto wake, Raymond Ekwu mwaka 2002.Mtoto huyo alizaa na Charless Ekwu ambaye baadae walikuja kuvunja...
View ArticleJOSE MOURINHO ATAKA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WAMPE ROONEY HESHIMA YAKE...
Jose Mourinho amewataka mashabiki wa Manchester United wamkaribishe kwa heshima zote nahodha wao wa zamani Wayne Rooney ambaye Jumapili hii atarejea Old Trafford.Rooney anarejea Old Trafford kuikabili...
View ArticleMWANAHAWA ALI, KHADIJA YUSSUF KUUNGANA NA JAHAZI DAR LIVE LEO USIKU
JAHAZI Modern Taarab, leo Jumamosi inajitosa ndani ya ukumbi wa Dar Live kwa onyesho maalum la “Usiku wa Kumbuka Zamani” ambapo nyota kibao waliopata kuitumikia bendi hiyo watashiriki.Mwanamama...
View ArticleMANCHESTER CITY YAUA 6-0 NA KUONGOZA LIGI …Man United yashuka ngazi
Manchester City imekamata usukani wa Ligi Kuu ya England baada ya kuifumua Watford 6-0 huku Sergio Aguero akifunga mara tatu.Ili Manchester United irejee kileleni wa ligi, itahitaji kuifunga Everton...
View ArticleLIVERPOOL BADO HAISOMIKI, YABANWA NA BURNLEY
Mwendo wa Liverpool bado si maridadi katika Ligi Kuu ya England baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Burnley.Burnley ilikuwa ya kwanza kuandika bao kunako dakika ya 27 ambalo lilidumu kwa dakika tatu...
View ArticleDAVID DE GEA 'AFUTA' NJOZI ZA KWENDA REAL MADRID
DAVID DE GEA ni kama vile ameonyesha dhamira ya kudumu Manchester United kwa muda mrefu baada ya kuhamia kwenye mjengo mpya wa kifahari.Kipa huyo wa United amekuwa akiwindwa kwa muda mrefu na Real...
View ArticleCHELSEA, ARSENAL HAKUNA MBABE …David Luis alambwa red card
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya England, Chelsea wamelazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa vuta nikuvute uliochezwa Stamford Bridge.Tukio kubwa zaidi kwenye mchezo huo, ni kupewa...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAREJEA ANGA ZA 4-0 … Valencia, Mkhitaryan, Lukaku, Martial...
Manchester United imeikung’uta Everton 4-0 kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu ya England uliochezwa kwenye uwanja wa Old Trafford.Antonio Valencia alifunga bao linalostahili kuingia kwenye mabao bora ya...
View ArticleAYA 15 ZA SAID MDOE: HII INAWEZEKANA KWENYE MUZIKI WA DANSI NA BONGO MOVIE TU
Simulizi moja ya zamani inasema vipofu wawili katika kijiji fulani walibahatika kukuta tembo amekufa, wakatumia fursa ile ‘kutalii’ kwenye mwili wa mnyama yule mkubwa zaidi duniani.Basi vipofu wale...
View Article