MAKUBWA YAMKUTA ROONEY, KIBANO CHA MIAKA MIWILI NA FAINI JUU YAKE
Wayne Rooney anakabiliwa na faini kubwa kutoka kwa klabu yake ya Everton baada ya kukiri makosa ya kuendesha gari huku akiwa amelewa.Rooney amekubali kosa hilo mahakamani Jumatatu asubuhi kufutia...
View ArticleREKODI YA AINA YAKE!!! JOSE MOURINHO HAFUNGIKI SIKU ZA JUMAPILI UWANJA WA...
Siku ya Jumapili imeendelea kuwa ya neema kwa Jose Mourinho pale anapocheza kwenye uwanja wa nyumbani.Kocha huyo Mreno jana aliiongoza Manchester United kuishindilia Everton 4-0 kwenye dimba la Old...
View ArticleMAKALI YA FABREGAS YAFUFUKA CHELSEA
Baada ya msimu uliopita kumalizika huku akiwa mchezaji kutokea benchi, Cesc Fabregas amerejea kwenye makali yake na sasa ni moja ya majina ambayo hayakosekani kwenye kikosi kinachoanza cha Antonio...
View ArticleGABRIEL JESUS AWEKA HISTORIA MPYA YA MAGOLI PREMIER LEAGUE
Gabriel Jesus anaelekea kujiwekea historia ya aina yake kwenye Premier League baada ya kuanza msimu kwa kasi ya ajabu. Unapohesabu wachezaji wenye magoli 10 kwenye Premier League, Jesus anakusanya...
View ArticleNTAMBA BAND WAINGIA KAMBINI KUANDAA KAZI MPYA
NTAMBA Band iliyo chini ya tabibu Ntamba na Mungu iko kambini ikijiandaa na ujio mpya wa kishindo, kwa mujibu wa kiongozi wa kundi hilo, Okaroba Omega.Hivi sasa Ntamba Band inayojumuisha vijana wanne...
View ArticleJADO FFU ASEMA “NITAZIDI KUPAMBANA NA HALI YANGU”
BOSI wa Dar Musica, Jado FFU amefunguka na kusema kuwa, pamoja na vikwazo anavyokumbana navyo kadri anavyojitahidi kupiga hatua, lakini atahakikisha hakati tamaa ili kuyafikia kikamilifu malengo...
View ArticleMBOTO AWASHUSHUA WANAODAI BONGOMUVI IMEPOTEZA MWELEKEO
MKALI wa muvi za Kibongo ambaye ni hodari kwa kuvunja mbavu, Haji Salum “Mboto” ameendelea kupingana na wale wanaodai kuwa tasnia ya filamu imepoteza mwelekeo kwa kusema kuwa fani hiyo bado iko katika...
View ArticleMAINA BAND YAJINASIBU KUACHA SIMULIZI MASTERS CLUB JUMAMOSI HII
JUMAMOSI hii, kama kawaida ya Maina Band, burudani isiyo na mfano itaendelea kuunguruma ndani ya kiwanja chao cha kujidai cha Masters Club, jijini Dar es Salaam.Bosi wa maina Band, Liston Maina...
View ArticleTANZANIA BAND FESTIVAL YAWEKA HISTORIA MPYA KWENYE MUZIKI WA DANSI
Lile tamasha la muziki wa dansi lililopewa jina la Tanzania Band Festival linarejea tena mwaka huu, lakini safari hii linakuja kivingine.Kwa mara ya kwanza, Tanzania Band Festival ilifanyika mwezi...
View ArticleNEYMAR NA CAVANI BIFU LAO HALIKUISHIA UWANJANI, UGOMVI ULIKWEND HADI VYUMBANI
Neymar na Edinson Cavani walilazimika kutengenishwa na wachezaji wenzao wa Paris Saint-Germain kufuatia mgogoro wao wa kugombea kupiga mipira ya adhabu.Washambuliaji hao wawili wa bei mbaya walionekana...
View ArticlePIGO ARSENAL ...DANNY WELBECK NJE MWEZI MZIMA
Mshambuliaji nyota wa Arsenal Danny Welbeck atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu hadi nne baada ya kuumia kwenye mchezo wa sare ya 0-0 dhidi ya Chelsea Jumapili mchana.Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger...
View ArticleBINTI WA MIAKA SITA AKIRI KUKOSESHWA RAHA NA CHATU ANAOCHEZEA MAMA YAKE MZAZI
MTOTO Ruti Samson (6), ambaye ni mkali wa sarakasi amefunguka kuwa anaogopeshwa mno na nyoka ambao mama yake mzazi, Neema Maganga huwa anapendelea kucheza nao mara kwa mara jukwaani.Ruti ambaye anasoma...
View ArticleTALENT BAND YAINGIA KAMBINI KUPIKA ALBAMU YA TANO
BOSI wa Talent Band, Hussein Jumbe “Mzee wa Dodo” ameingia kambini na vijana wake kwa ajili ya kutayarisha albamu mpya wanayotarajia kuifyatua baadaye mwaka huu.Hiii itakuwa ni albamu ya tano ya bendi...
View ArticleJB NAE SASA AUCHOKA "UBONGENYANYA"... atamani kurejea kuwa kimbaumbau
MIEZI michache baada ya mkali wa Bongofleva, Peter Msechu kutangaza kuwa yupo kwenye mkakati wa kupunguza uzito wa mwili wake, nae msanii mwingine wa Bongomuvi, Jacob Stephen "JB" ameibuka na kauli...
View ArticleJADO FFU ASAKA RAFIKI ANAYEWEZA KUPIGANA NA MAISHA
BOSI wa Bendi ya Dar Musica, Jado FFU amesema kuwa mwanaume wa ukweli anatakiwa kujiamini kwanza na awe mtafutaji asiyechoka, kama ilivyo kwa upande wake yeye.Jado amesema kuwa binafsi anamtanguliza...
View ArticleKANJIBAI WA SINGELI ALILIA AMANI BONGO
MSANII anayekuja juu kwa kasi katika muziki wa singeli Bongo, Mussa Juma ‘Kanjibai’, Jumamosi hii anatarajiwa kutambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Amani’, ambayo mwenyewe anaisifu kuwa...
View Article"NIKIMUONA" YA PEACE MAPEPE KUANIKWA RASMI IJUMAA HII
MKALI wa Bongofleva, ‘Peace Mapepe’ amesema kuwa mkakati wake mkubwa katika muziki ni kuhakikisha anafika mbali zaidi na kutambulika hadi nje ya mipaka ya nchi na kujijengea jina zaidi.Kesho Ijumaa...
View ArticleMMILIKI WA KISUMA BAR AFARIKI DUNIA …ngome ya Talent Band, Msondo na Sikinde
Mmiliki wa Kisuma Traders inayomili bar kibao za Kisuma zinazoongoza kwa ‘kuukarimu’ muziki wa dansi Fulgence Urio (pichani) amefariki ghafla Jumatatu usiku.Kifo cha Urio ni pigo kubwa kwa muziki wa...
View ArticleWACHEZAJI WA BARCELONA WAMFARIJI DEMBELE ATAKAYEKAA NJE YA DIMBA KWA MIEZI...
Wachezaji wa Barcelona walivaa fulana za kumpa moyo mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Ousmane Dembele ambaye ameuamia na atakosekana uwanjani kwa miezi mitatu na nusu.Katika mchezo wa ushindi dhidi ya...
View ArticleBM RECORDS STUDIO YAWAITA WASANII KUINGIA "LEBO"
BM Records Studio ya Kigogo Luhanga, jijini Dar es Salam imeendelea kuwataka wasanii wa miondoko mbalimbali ya muziki kujitokeza Studioni hapo kwa ajili ya kujiunga na lebo yao.Mkurugenzi wa BM...
View Article