MLINDA mlango wa Manchester United, David de Gea ameripotiwa kuanza kampeni za kumshawishi beki wa Real Madrid, Sergio Ramos kutua Old Trafford.
Beki huyo aliwahi kuwindwa na Manchester United enzi za Van Gaal lakini uhamisho huo ulikwama dakika za mwishoni.