STAA aliyeanza kufutika kwenye medani ya muziki nchini Marekani, Ja Rule amepanga kurudi tena kwa kishindo baada ya kutangaza kufanya shoo kubwa katika mji wa Honolulu.
Ja Rule amepanga kuambatana na mwanadada Ashant ambaye pia amepotea kwa muda katika fani ya muziki.
Tamasha la ja Rule linatarajiwa kufanyika mwezi Novemba ikiwa ni maandalizi ya kufunga mwaka 2017.