RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez amefunguka kuwa Cristiano Ronaldo hawezi kuondoka katika timu hiyo kwa miaka ya hivi karibuni.
Perez amekanusha vikali taarifa za majira ya joto kuwa Cristiano Ronaldo alikuwa anataka kuihama klabu hiyo kwasababu ya kuchoshwa na maisha ya Hispania.