KLABU ya Fenerbahce ya Uturuki imefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa kuhusu uwezekano wa kumchukua kwa mkopo.
Costa mwenye miaka 28, amesalia nchini Brazil baada ya kugoma kurejea nchini England baada ya kupewa taarifa na uongozi wa klabu.