Quantcast
Channel: saluti5
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWANGA PEPETA, BEKA FLAVOUR, SNURA KUNOGESHA TAMASHA LA ‘FULLDOZI’ DAR LIVE...

Miamba ya muziki wa dansi The African Stars “Twanga Pepeta” ni miongoni mwa burudani kubwa zitakazopatikana Dar Live Mbagala Jumamosi hii katika tamasha la Fulldozi lililoandaliwa na ITV, Radio One na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEN POL ASHUKA NA KIDUME SAMBAMBA NA ALBAM MPYA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Benard maarufu kama “Ben Pol” ameamua kuachia albamu yenye nyimbo 15, iitwayo “The Best of Ben Pol” itakayoanza kuwa mtaani Ijumaa hii. Mkali  huyo wa RnB Septemba 8...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFIRI DIOUF ATUA BONGO KWA MAPUMZIKO …kuachia tatu mpya

Rapa na mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta Msafiri Diouf ambaye kwasasa anafanya muziki London, Uingereza, amerejea Bongo kwa mapumziko mafupi.Diouf ameiambia Saluti5 kuwa aliingia Dar es Salaam juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RITA DOMINICK WA NOLLYWOOD AWAKUMBUKA MACHOKORAA

MWIGIZAJI wa kike nchini Nigeria, Rita Dominick amesema kuwa yupo mbioni  kuja na mipango maalum  wa kuwasaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi.Rita amesema kuwa wapo watoto wengi kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKONGWE WA NOLLYWOOD AMPONDA GENEVIEVE

STAA mkongwe, Ego Boyo amekuwa kimya kwa muda mrefu baada ya kujiweka kando na kazi za sanaa lakini hivi karibuni ameibuka na kuanza kuponda baadhi ya mastaa wakubwa wa filamu nchini Nigeria.Ego...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABUSU YA RAMSEY NOAH YAMPAGAWISHA MREMBO WA NOLLYWOOD

STAA wa filamu za Nollywood, mrembo Omoni Oboli amesema kuwa kama kuna wanaume ambao wanamvutia kupiga busu wakati wa kuigiza ni Ramsey Noah.Mrembo huyo pia amemtaja Dismond Eliot kama mwigizaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LWANDAMINA AWAACHIA AJIB, NGOMA JUKUMU LA USHINDI NJOMBE NA SONGEA

KOCHA wa timu ya Yanga, George Lwandamina raia wa Zambia ameliacha jukumu la kusaka pointi sita ugenini chini ya washambuliaji wake wazoefu, Ibrahim Ajib na Dornald Ngoma mzaliwa wa Zimbabwe.Kocha huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI WAPIGANIA "MAISHA" YA MAYANGA STARS

KOCHA wa Taifa Stars, Salum Mayanga amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya mashabiki wa soka kuibua hoja ya kulitaka Shirikisho la Soka nchini (TFF), ambalo limepata utawala mpya,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JONAS MKUDE AJUTA KUSAINI TENA SIMBA SC... aanza kuikumbuka ofa ya Yanga

SIMBA inazidi kumfanyia unyama nahodha wake wa zamani, Jonas Mkude na taarifa kutoka kwa rafiki zake zinasema kiungo huyo anajuta kusaini klabu hiyo huku akikumbuka ofa ya Yanga.Taarifa kutoka kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAJI MANARA AJIPANGA KULIPUA BOMU SIMBA SC

AFISA Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, siku yoyote anaweza kulipua bomu ambalo kwa muda mrefu limekuwa likitesa na kuidhohofisha klabu hiyo kiuchumi. Kwa muda mrefu sasa Simba imekuwa ikikosa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAREHE YA KUFUNGA DIRISHA LA USAJILI ENGLAND YABADILISHWA ...Manchester...

Klabu za Ligi Kuu ya England zimepiga kura na kuidhinisha soko la kuhama wachezaji lifungwe kabla ya msimu kuanza mwaka ujao.Hatua ya klabu hiyo za Premier League ina maana kwamba ingawa klabu zitaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAPANIA MECHI YAO NA NJOMBE MJI

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina amesema kuwa mchezo wao wa pili wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji wameupania na wamejipanga vizuri zaidi ili kuweza kuondoka na point zote tatu.Kocha huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGER ASEMA HANA MASHAKA NA MSIMAMO WA SANCHEZ

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amemkingia kifua mshambuliaji wake Alexis Sanchez na kusema hana mashaka kuwa nyota huyo atarejea kwenye makali yake.Sanchez, 28, alikaribia sana kuhamia Manchester City...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAWEKA MKAKATI WA KUMBADILISHA MAVUGO KISAIKOLOJIA

MSHAMBULIAJI aliyesajiliwa na Simba kwa mbwembwe nyingi, Laudit Mavugo amegeuka pasua kichwa baada ya kuwa na mwendo mbovu katika baadhi ya mechi alizocheza hivi karibuni ikiwemo dhidi ya Hard Rock ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI SIMBA SC WASEMA "HATUNA WASIWASI NA AZAM JUMAMOSI"

SIMBA wanatarajiwa kuwa  wageni wa Azam kwenye pambano la Ligi kuu ambalo litapigwa Jumamosi hii katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam.Wachezaji wa Simba wameyapokea madiliko ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TSHISHIMBI ASEMA SIMBA HAINA JEURI YA KUZUIA UBINGWA USITUE JANGWANI

KIUNGO mpya wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi amesema kwamba haoni sababu ya mashabiki wa Yanga kuhofia kasi ya  watani wao Simba kwa kwani kikosi chao cha wana Jangwani kina ubora wa kutosha kutetea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA SC KUANZISHA BENKI YAO, KITUO CHA LUNINGA

SIMBA imeamua kuwa klabu ya kwanza hapa nchini kuendeshwa na mfumo wa wanachama wake kununua hisa, lakini pia inataka kuandika historia nyingine kubwa katika medani ya soka barani Afrika.Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGER ACHEKELEA DIRISHA LA USAJILI ENGLAND KUFUNGWA MAPEMA

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amechekelea mabadiliko yaliyopitishwa na vilabu vya Premier League kubadili tarehe ya kufunga dirisha la usajili.Kuanzia msimu ujao, dirisha la usajili England...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBARAKA YUSUPH AISUBIRI MECHI YAO DHIDI YA SIMBA KUTAFUTIA UJIKO ZAIDI

MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Azam, Mbaraka Yusuph anesema ataitumia mechi yao dhidi ya Simba kutangaza ukubwa wajina lake hapa nchini.Mbaraka ametamba kuonyesha makali yake kwenye mchezo wa Jumamosi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA POCHETTINO ATETEA ISHARA YA KIDOLE CHA KATI CHA DELE ALLI …asema hata...

Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino anaamini FIFA itakosea iwapo itamwadhibu Dele Alli kwa ishara yake ya kidole cha kati alichoonyesha kwenye mchezo dhidi ya England Slovakia.Kocha huyo akatania...

View Article
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>