MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Arsenal, Alex Chamberlain amesema kuwa Klopp alikuwa sehemu kubwa ya ushawishi kwake kuhamia katika klabu ya Liverpool.
Alex Oxlade-Chamberlain amebainisha kuwa uwezo wa Jurgen Klopp kwenye klabu ni miongoni mwa sababu kuu zilizomshawishi kujiunga na Liverpool majira ya joto.