SIR ALEX FERGUSON ALICHEMKA KUMWACHIA PAUL POBGA ...aliiondoka bure lakini...
Paul Pogba anawindwa na Barcelona katika kipindi hiki ambacho inaonekana yupo tayari kuondoka Juventus kiangazi hiki. Kwa sasa Pobga kinda wa zamani wa Manchester United anatajwa kuwa na thamani ya...
View ArticleJOSE MOURINHO ATAKA KUMSAJILI LEWANDOWSKI, NI MANCHESTER UNITED?
JOSE MOURINHO anataka kumsajili Robert Lewandowski.Kocha huyo wa Kireno anapewa nafasi kubwa ya kumrithi Louis van Gaal ndani ya Manchester United msimu ujao iwapo Ed Woodward ataamua kusitisha kibarua...
View ArticleATLETICO MADRID YAANZA VEMA NUSU FAINALI KWA KUICHAPA BAYERN MUNICH 1-0
Pep Guardiola ana kazi nzito ya kuutumia vema mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ili kuepukana na nuksi ya kukomea nusu fainali tangu alipoanza kuikochi Bayern Munich.Kibarua...
View ArticleHAWA NDIO MAKOCHA WANAOTAJWA KUMRITHI ARSENE WENGER NDANI YA ARSENAL
Bosi wa Southampton Ronald Koeman yuko miongoni mwa majina ya makocha wanaotajwa kumrithi Arsene Wenger ndani ya Emirates Stadium.Wenger amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake Arsenal lakini sasa...
View ArticleMAKONDA ALETA MATUMAINI MAPYA JUU YA AGIZO LA MUZIKI MWISHO SAA 6 USIKU
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wamiliki wa bar, kumbi za starehe, viongozi wa bendi na wanamuziki watii sheria ya kumaliza muda wa maonyesho yao hadi pale sheria hiyo...
View ArticleAUGUSTO FERNANDEZ WA ATLETICO MADRID ALIVYOZIMA MIPANGO YA BAYERN MUNICH
KAMA ulitazama mechi ya awali ya nusu fainali ya Champions League kati ya Atletico Madrid na Bayern Munich iliyopigwa Estadio Vicente Calderon Jumatano usiku, hautapata kigugumizi kukiri kuwa Augusto...
View ArticleBARCELONA YAMYATIA KIPA BERND LENO WA BAYER LEVERKUSEN
BARCELONA imeripotiwa kumfukuzia kipa wa Bayer Leverkusen, Bernd Leno kwa ajili ya kuziba nafasi ya Marc-Andre ter Stegen, ambaye anaelezwa kuwa njiani kuondoka Bundesliga katika usajili wa kiangazi...
View ArticleLIVERPOOL YAPIGWA KIMOJA NA VILLARREAL EUROPA LEAGUE ...Shakhtar Donetsk na...
Liverpool imepoteza mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Europa League baada ya kufungwa 1-0 na Villarreal ya Hispania iliyokuwa mwenyeji wa mchezo huo.Bao la Villarreal lilikuja katika dakika ya mwisho...
View ArticlePICHA 8: MAMBO YAZIDI KUNOGA, MAKONDA AKUTANA TENA NA WADAU WA MUZIKI MCHANA HUU
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda amekutana na Kamati ya muda ya wadau wa muziki na wamiliki wa bar na kumbi za starehe mchana huu ikiwa ni mwendelezo wa maagizo aliyotoa jana...
View ArticleBARCELONA WAPIGA HESABU ZA KUMUUZA NEYMAR
MABINGWA wa Hispania, Barcelona wanafikiria uwezekano wa kumuuza mshambuliaji wake Neymar (24), ambapo sababu kubwa wameieleza kuwa hawawezi kuingia nae mkataba wa muda mrefu.Klabu hiyo...
View ArticlePELLEGRINI ATOA YA MOYONI MANCHESTER CITY
MENEJA wa Manchester City, Manuel Pellegrini, amesema kitendo cha klabu hiyo kumuidhinisha Pep Guardiola kuwa kocha mpya kwa msimu ujao ni sawa na yeye kuonekana mjinga. Kocha huyo alisema uamuzi huo...
View ArticleDUDUBAYA AJIRUDI KUTAKA CHID BEENZ AFE... sasa amwombea dua apate afya njema...
VETERANI wa muziki wa Kizazi Kipya, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ amemuombea afya njema Chid Beenz na kumtaka apone haraka kwa madai kwamba Bongofleva bado inamuhitaji.Dudubaya amemtakia afya njema...
View ArticleRENATO SANCHES AHESABU SIKU KUTUA MANCHESTER UNITED KWA PAUNI MILIONI 46...
Manchester United inakaribia kukamilisha dili la usajili wa pauni milioni 46 kwa kiungo kinda wa Benfica Renato Sanches.United ilikuwa kwenye maongezi ya kina tangu mwezi Januari kwaajili ya mchezaji...
View ArticleArticle 4
KOCHA wa zamani wa Mashetani Wekundu, Alex Ferguson amemwambia Louis Van Gaal kuwa kama atabahatika kuendelea na kibarua cha kubakia Old Trafford aache kabisa kjusajili wachezaji maarufu.Kisha akampa...
View ArticleCOUTINHO ADAI JURGEN KLOPP AMEIBADILISHA LIVERPOOL
STRAIKA wa Majogoo wa Jiji, Liverpool, Philippe Coutinho, amemfagilia kocha wake, Jurgen Klopp kwa kuleta mabadiliko yanayoonyesha matumaini makubwa kwa kikosi chao hicho.Coutinho mwenye umri wa miaka...
View ArticleBATULI: MSIOGOPE KUTUOA MASTAA
STAA wa Bongo Movie, Yobnes Yusuph ‘Batuli’, amewataka wanaume wenye nia ya kweli ya kuoa wasiwaogope wasanii na badala yake wajaribu bahati yao.Amesema katika utafiti wake amebaini kuwa wanaume wengi...
View ArticleMKWERE ORIJINO AAPA KUZEEKEA KWENYE SANAA
MCHEKESHAJI nyota kutoka kundi la “Mizengwe” linalorusha michezo yake katika runinga ya ITV, Hemedi Khalfan Maliyaga “Mkwere”, amesema atazeekea kwenye kazi hiyo kwa vile ndio iliyomfanya apate maisha...
View ArticleSHAMSA FORD ASEMA KWA SASA AKIKUTANA NA NAY WA MITEGO NI KUPIGANA VIKUMBO TU...
MWIGIZAJI wa filamu, Shamsa Ford, amefunguka kuwa akikutana na mpenzi wake wa zamani, Nay wa Mitego, ni kupigana vikumbo tu kwani uhusiano wao ulishakufa siku nyingi. Alisema kuwa licha ya kuachana...
View ArticleTHEA ABADILI JINA LA FILAMU YAKE MPYA LILILOGONGANA NA YA DUDE
MKONGWE wa Bongo Muvie, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amelazimika kubadili jina la filamu yake ‘Nyuma ya Pazia’ na kutafuta linguine baada ya kubaini kuwa linafanana na la filamu ya Kula Kikumba ‘Dude’.Thea...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAMUEPUKA JAMIE VARD JUMAPILI HII
JAMIE Vardy ataikosa mechi ya Leicester City ugenini dhidi ya Manchester United Jumapili hii baada ya kufungiwa mechi mbili na chama cha soka England (FA), kwa kumbwatukia refa.Jopo la watu watatu la...
View Article