RIYAMA ALLY AIKUMBUKA TAMTHILIA YA ‘JABALI’… asema ndiyo iliyomtoa
RIYAMA Ally amesema kuwa tangu ajitose kwenye Bongo Muvie mwaka 2000, siku ya kwanza ya kuona matunda ya sanaa ilikuwa ni baada ya kuigiza vema kama mtoto aliyegeuzwa kichaa na mama yake mzazi.Riyama...
View ArticleCLAUDIO RANIEL ATHIBITISHA KUWA SOKA LINA MAAJABU YAKE
KOCHA Claudio Raniel amesema iwapo klabu mbili za Manchester ndizo zingekuwa katika nafasi ambayo Leicester City kwa sasa wamo, basi angeamini mbio za Ligi zimeisha.Leicester ambao watakuwa wenyeji wa...
View ArticleMUSSA BANZI AMVUTA TENA ODAMA NDANI YA FILAMU MPYA YA “GOLD ODAMA”
BAADA ya kimya cha muda mrefu, muongozaji na mwandishi wa hadithi za filamu, Mussa Banzi, amesema kuwa anajiandaa kuibuka na filamu aliyoipa jina la ‘Gold Odama’ aliyomshirikisha msanii Jenifer Kyaka...
View ArticleDIDIER DROGBA AKARIBISHA UCHUNGUZI TUHUMA ZA “UPIGAJI”
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba, amekaribisha uchunguzi ufanywe juu ya taasisi yake dhidi ya kile kilichoitwa wasiwasi mkubwa juu ya udhibiti wa fedha za taasisi hiyo.Gazeti la...
View ArticleMAROUANE FELLAINI KUONDOKA MANCHESTER UNITED …ROMA YAMPIGIA HESABU
MAROUANE FELLAINI alikuwa ndani ya Stadio Olimpico akiitazama Roma ikicheza na Napoli siku ya Jumatatu, huku wakala wake, Luciano D'Onofrio akisema staa huyo kuhamia Serie A ni jambo...
View ArticleLUCAS VAZQUEZ WA REAL MADRID ALIVYODHIHIRISHA KUWA ANA MAPAFU YA MBWA
LUCAS VAZQUEZ ameonyesha kuwa “ana mapafu ya mbwa” kuliko wachezaji wenzake wote wa Real Madrid baada ya kukimbia umbali mrefu zaidi katika mechi ya nusu fainali ya Champions League Uwanja Etihad,...
View ArticleBAADA YA KUWEKA REKODI MPYA PREMIER LEAGUE ...MESUT OZIL 'AILETEA' MAPOZI...
KIUNGO nyota wa Arsenal aliyeandika rekodi ya kutengeneza nafasi 137 katika Premier League msimu huu, Mesut Ozil, amesema hana haraka ya kusaini mkataba mpya na anaweza kusubiri hadi mwisho wa msimu...
View ArticleSANTI CAZORLA AITABIRIA VILLARREAL KUCHEZA FAINALI YA EUROPA LEAGUE
SANTI CAZORLA amesema ataweza kurudi kuichezea Villarreal siku moja na anatumaini kuisapoti timu yake hiyo ya zamani wakati itakapocheza na Liverpool katika nusu fainali ya pili ya Europa League...
View ArticlePICHA 35: MSONDO NA SIKINDE WALIVYOKOMESHANA TCC CLUB ...haijawahi kutokea!!!
Kama ilivyotarajiwa, onyesho la Msondo Ngoma Music Band na Mlimani Park “Sikinde Ngoma ya ukae”, lilikuwa bab kubwa, lakini hili lilikuwa na ziada – lilijaza kuliko maonyesho yao yote yaliyopita.Na...
View ArticleLIVERPOOL YAKWAA KISIKI YANYUKWA 3-1 NA SWANSEA …Andre Ayew awa mwiba
Liverpool imepunguzwa kasi yake ya kukwea vidato kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kunyukwa 3-1 na Swansea.Ander Ayaw ndiye aliyekuwa mwiba kwa Liverpool ambapo aliweza kufunga bao la...
View ArticleHIKI NDICHO ALICHOKISEMA VAN GAAL KABLYA MECHI YA MAN UNITED NA LEICESTER CITY
LOUIS VAN GAAL amesema kwamba Leicester City kutwaa ubingwa ni jambo zuri kwa Premier League, lakini akaapa kikosi chake cha Manchester United hakitokubali kufanywa ngazi na timu hiyo kwa kuwa wapo...
View ArticleATLETICO MADRID KUKODI NDEGE TANO MASHABIKI WAKASAIDIE KUING'OA BAYERN MUNICH
KLABU ya Atletico Madrid imefanya utaratibu wa kupata ndege tano kwa ajili ya kubeba mashabiki watakaokwenda Ujerumani kuwapa sapoti katika mechi yao ya marudiano ya nusu fainali ya Champions League...
View ArticleLICHA YA BAYERN KUWA NYUMA 1-0 …PEP GUARDIOLA ‘ASEMA’ KUTINGA FAINALI...
PEP GUARDIOLA ameonyesha kuwa na uhakika wa asilimia 100 wa kupindua ushindi wa bao 1-0 waliopata Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Champions League Jumatano iliyopita, kiasi...
View ArticleBADO POINTI 2 LEICESTER KUBEBA TAJI LA PREMIER LEAGUE ...MANCHESTER UNITED...
Manchester United imechelewesha shangwe za ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa Leicester City baada ya sare ya 1-1 ndani ya Old Trafford baina ya timu hizo mbili.United ilikuwa ya kwanza kupata bao...
View ArticlePICHA 16 ZA SHOW YA MSONDO NA SIKINDE NJE YA JUKWAA
Zifuatazo ni picha kadhaa zilizochukuliwa na Saluti5 nje ya jukwaa kwenye onyesho la Msondo na Sikinde pale TCC Club Chang’ombe Jumamosi usiku, onyesho ambalo lilihudhuriwa na umati mkubwa watu. MC...
View ArticleDOUBLE M PLUS ‘YACHANIKA’ …KUPAZA AMIPIGA MUUMIN …WAWILI WATIMULIWA BENDI
Bendi ya Double M Plus imepata ufa mkubwa baada ya viongozi wake waandamizi kupigana na kutimuana kazi mara baada ya onyesho lao la Jumamosi usiku.Double M Plus ilikuwa kwenye ukumbi wa Star Point...
View ArticleAYA 15 ZA SAID MDOE: KUNA SEHEMU MSONDO NA SIKINDE WANAPIGWA CHENGA YA MWILI
Awali ya yote nichukue fursa hii kusema kuwa onyesho la juzi usiku la Sikinde na Msondo lililofanyika TCC Club Chang’ombe lilinivutia sana na niliburudika mpaka baaasi.Binafsi naamini hizi ndiyo bendi...
View ArticlePICHA 16 ZA UTAMBULISHO WA AISHA VUVUZELA NA ZUBEDA MLAMALI JAHAZI ULIVYONOGA...
Hatimaye waimbaji Zubeda Mlamali na Aisha Vuvuzela wametambulishwa rasmi Jahazi Modern Taarab katika onyesho kubwa lililofanyika Travertine Hotel usiku wa kuamkia leo.Umati mkubwa ukafurika Travertine...
View ArticleMANCHESTER UNITED YATENGA PAUNI MIL 30 KUMNYAKUA N'GOLO KANTE WA LEICESTER CITY
MANCHESTER UNITED imeripotiwa kutenga pauni milioni 30 kwa ajili ya ofa ya uhamisho wa kiungo nyota wa Leicester City, N’Golo Kante.Kante amekuwa na mchango mkubwa kwa Leicester msimu huu, na tayari...
View ArticleCLAUDIO RANIERI ASEMA HATATAZAMA MECHI YA TOTTENHAM NA CHELSEA JUMATATU USIKU
CLAUDIO RANIERI amesema hatatazama mechi ya Tottenham na Chelsea iyakayopigwa Stamford Bridge Jumatatu, licha ya kuwa matokeo yake yanaweza kukifanya kikosi chake cha Leicester City kubeba taji la...
View Article