Quantcast
Channel: saluti5
Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

MUSSA BANZI AMVUTA TENA ODAMA NDANI YA FILAMU MPYA YA “GOLD ODAMA”

$
0
0
BAADA ya kimya cha muda mrefu, muongozaji na mwandishi wa hadithi za filamu, Mussa Banzi, amesema kuwa anajiandaa kuibuka na filamu aliyoipa jina la ‘Gold Odama’ aliyomshirikisha msanii Jenifer Kyaka ‘Odama’.

Banzi ambaye alimtambulisha mwigizaji huyo katika sanaa kupitia filamu yake iliyoitwa ‘Odama’ na kuwa chanzo cha mwanadada huyo kuitwa jina hilo, alisema mwaka huu anataka kufanya kitu kipya.

“Mwaka huu tumepanga kuandaa filamu ya ‘Gold Odama’ yaani ‘Odama wa Dhahabu’ kwahiyo mashabiki wakae mkao wa kula kwani huu ni mwaka wa kazi,” alisema Banzi.


Alisema ameamua kurejea kwenye gemu kutokana na malalamiko kwamba fani imeanza kupoiromoka kutokana na wahusika kukosa ubunifu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>