LAURENT BLANC MBIONI KUMPIKU MOURINHO KIBARUA CHA MANCHESTER UNITED ...lengo...
LAURENT BLANC ameingizwa ghafla kwenye mbio za kuikochi Manchester United msimu ujao, nafasi ambayo kimahesabu ni kama tayari iko mikononi mwa Jose Mourinho.Inasemekana kuna dalili kubwa ya bodi ya...
View ArticleTOT BAND YATINGA TOP TEN YA TK FM, “JIAMINI” YA ISHA MASHAUZI YAKOMAA NAMBA 1...
WIMBO mpya wa TOT Plus Band “Wivu" utunzi wake Abdul Misambano (pichani), umetinga kwenye Top Ten ya kipindi cha Afro Dance cha radio TK FM ya Tanga.TK FM (Tanga Kunani) kwa sasa ndiyo radio yenye...
View ArticleDAVID MOYES AJIPANGA KUREJEA EVERTON IWAPO MARTINEZ ATATIMULIWA
DAVID MOYES (pichani kulia) anataka kurejea tena Everton iwapo Roberto Martinez (pichani kushoto) atatimuliwa kutokana na mwenendo mbovu msimu huu.Bodi ya Everton itakutana wiki hii kujadili hatma ya...
View ArticleRONALDO YUKO FITI KUIVAA MANCHESTER CITY LIGI YA MABINGWA ... YAYA TOURE OUT
Cristiano Ronaldo yuko fiti kwa asilimia 100 kuivaa Manchester City wakati itakapoikaribisha Real Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kwenye dimba la...
View ArticleCHENGA YA MWILI! CRISTIANO RONALDO AIKOSA MECHI YA MANCHESTER CITY
Kinyume na alivyotangaza kocha wa Real Madrid kuwa Cristiano Ronaldo ataivaa Manchester City katika mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, lakini sasa supastaa huyo hayupo hata kwenye orodha ya...
View ArticleMANCHESTER YAAMBIWA RENATO SANCHES NDIYE MBADALA HALISI WA CRISTIANO RONALDO
Manchester United inapiga hatua za haraka ili kuhakikisha kiungo wa Benfica Renato Sanches anatua Old Trafford msimu ujao na kuzipiku Real Madrid na Paris Saint-Germain ambazo nazo zinawania saini ya...
View ArticleMANCHESTER CITY YAHITAJI SARE YA MAGOLI KUITOA REAL MADRID …Etihad yashuhudia...
Manchester City imeanza kwa sare ya 0-0 kwenye uwanja wake wa Etihad dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Champions League.Hiyo inamaanisha kuwa katika mchezo wa marudiano...
View ArticleSIKINDE NA MSONDO NGOMA HAPATOSHI JUMAMOSI HII TCC CLUB ...pata picha 28 za...
Onyesho la pamoja la mahasimu wakubwa wa muziki wa dansi Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae” na Msondo Ngoma Music Band “Baba ya Muziki” litakalofanyika Jumamosi hii, limeibua majigambo na...
View ArticleALFRED LUCAS AFISA HABARI MPYA WA TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Alfred Lucas kuwa Afisa Habari na Mawasiliano mpya wa shirikisho kuanzaia leo Aprili 27, 2016.Alfred (pichani) anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto...
View ArticleCRISTIANO RONALDO ASEMA MECHI MAN CITY INGEKUWA FAINALI ANGECHEZA
CRISTIANO RONALDO alikosa mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Champions League wakati Real Madrid ilipotoka 0-0 na Manchester City Uwanja wa Etihad Jumanne usiku, kutokana kuwa na majeraha madogo,...
View ArticleHATIMAYE GARETH BALE SASA AITAKA TOTTENHAM
STRAIKA wa Real Madrid, Gareth Bale ameelezea nia yake ya kutaka kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Tottenham Hotspur katika michuano ijayo ya Champions League.Spurs wako katika nafasi ya kuweza...
View ArticleDIEGO MARADONA IMPIGE BEI GONZALO HIGUAIN NA KUMSAJILI HARRY KANE
DIEGO MARADONA ametoa wito kwa Bodi ya Klabu ya Napoli kuupiga bei mtambo wao wa mabao, Gonzalo Higuain (pichani), na kumsajili straika wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kuziba nafasi yake.Napoli...
View ArticleWANAMUZIKI NA WADAU WA MUZIKI KUKUTANA NA MKUU WA MKOA DSM ALHAMISI HII
Wanamuziki wa dansi, taarab, bongo fleva na wadau wa muziki waishio Dar es Salaam, Alhamisi hii (28 April) watakutana na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda ili kubadilisha mawazo juu...
View ArticleROBERT LEWANDOWSKI AWAHOFIA ATLETICO LEO
KUELEKEA mchezo wa leo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, straika wa Bayern Munich, Robert Lewandowski amesema kuwa anatambua mtihani unaowakabili dhidi ya Atletico Madrid, lakini ana uhakika...
View ArticleNEYMAR ATOSWA NA DEMU KISA MTOTO WA DAVID BECKHAM
NYOTA wa filamu wa Hollywood, Chloe Grace Moretz, 19, amedaiwa kumtosa nyota wa soka wa Barcelona, Neymar 24, na kutua kwa mtoto wa mwanasoka wa zamani, David Beckham, kijana Brooklyn Beckham,...
View ArticleDAVINA AWATAKA WASANII BONGO MUVIES KUJIONGEZA
STAA wa Bongo Muvies, Halima Yahya “Davina”, ambaye kwa sasa amejikita kwenye biashara baada ya kuona tasnia hiyo inakwenda ndivyo sivyo, amewashauri wasanii wenzake wawe na shughuli za ziada za...
View ArticleARSENAL HATARINI KUMPOTEZA ALEXIS SANCHEZ, BAYERN MUNICH YATIA MGUU
Bayern Munich inajipanga kumnyakuwa mshabuliaji tegemeo wa Arsenal Alexis Sanchez mwishoni mwa msimu huu.Winga huyo anaingia katika miaka yake miwili ya mwisho ya mkataba wake Emirates na tayari...
View ArticleKIUNGO RADJA NAINNGOLAN WA ROMA ANUKIA CHELSEA
Chelsea inaamini kiungo Radja Nainggolan wa Roma ya Italia atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha mpya Antonio Conte.Mazungumzo baina ya klabu hizo mbili yako sehemu nzuri ambapo makubaliano ya...
View ArticleCHEKI SURUALI YA ZINEDINE ZIDANE ILIVYOCHANIKA UWANJANI ... ni mara ya pili...
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane Jumanne usiku alikuwa gumzo baada ya suruali yake kuchanika na kumwacha paja nje wakati akitoa maelekezo kwa wachezaji wake kwenye uwanja wa Etihad.Hiyo ilikuwa ni...
View ArticleYANGA ‘YAITOA’ COAST UNION KOMBE LA SHIRIKISHO …WAGOSI WALIMWA FAINI YA MIL...
Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo uliofanyika Aprili 24, 2016 kwenye Uwanja wa...
View Article