Quantcast
Channel: saluti5
Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

DAVID MOYES AJIPANGA KUREJEA EVERTON IWAPO MARTINEZ ATATIMULIWA

$
0
0
DAVID MOYES (pichani kulia) anataka kurejea tena Everton iwapo Roberto Martinez (pichani kushoto) atatimuliwa kutokana na mwenendo mbovu msimu huu.
Bodi ya Everton itakutana wiki hii kujadili hatma ya Martinez ambaye alijiunga na timu hiyo mwaka 2013 kuchukua nafasi ya Moyes aliyekwenda Manchester United.
Moyes amewaambia watu wake wa  karibu kuwa atapendelea kurejea Everton licha ya kuwaniwa na Celtic na Aston Villa.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>