Quantcast
Channel: saluti5
Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

LIVERPOOL YAPIGWA KIMOJA NA VILLARREAL EUROPA LEAGUE ...Shakhtar Donetsk na Sevilla zatoka 2-2

$
0
0
Liverpool imepoteza mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Europa League baada ya kufungwa 1-0 na Villarreal ya Hispania iliyokuwa mwenyeji wa mchezo huo.

Bao la Villarreal lilikuja katika dakika ya mwisho ya mchezo kupitia kwa Adrian Lopez.

Katika nusu fainali nyingine, Shakhtar Donetsk  na Sevilla zatoka zilitoka suluhu ya 2-2.
The Villarreal players celebrate wildly after Adrian Lopez netted a stoppage-time winner against Liverpool in their Europa League first leg
Wachezaji wa Villarreal wakipata wazimu wa kushangilia baada ya Adrian Lopez kufunga goli pekee katika dakika ya mwisho ya mchezo

Adrian had the simple task of slotting into the net to finally find the goal that put Villarreal in charge of the semi-final
Adrian akishangilia bap lake
James Milner and Christian Benteke stand dejected on the centre circle as they prepare to kick-off following Adrian's late winner
James Milner na Christian Benteke wakiwa hoi kwenye dimba la kati
Villarreal manager Marcelino celebrated on the El Madrigal pitch after the late strike gave his side the advantage in the first leg
Kocha wa Villarrea  Marcelino naye akiwa na mzuka wa ushindi


Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

Trending Articles