ARSENE WENGER AENDELEA KUOTA KUMSAJILI LIONEL MESSI
INGAWA inawezekana kuwa ni ndoto za alinacha, lakini bado bosi wa Washika Mitutu wa jiji la London, Arsene Wenger anaamini kukamilika kwa ndoto aliyoanza miaka mingi nyuma ya kumnasa Lionel Messi.Ndoto...
View ArticleMONALISA AKANA KUWA NA MIMBA KWENYE NDOA YAKE MPYA
MCHEZAJI filamu wa Nollywood, Monalisa Chinda amekana kuwa na mimba licha ya kuolewa na mume mpya Februari, mwaka huu.Monalisa aliyesota kwa miaka kadhaa bada ya kuachana na mumewe wa kwanza, alisema...
View ArticleLUKASZ PISZCZEK KUTUA MANCHESTER CITY
BOSI wa Matajiri wa Jiji la Manchester, Manchester City, Manuel Pellegrini wala hana haja ya mustakabali wake wa ama kubaki au kuondoka.Katika kujiaminisha kuwa bado ana nafasi ya kubaki, ndio kwanza...
View ArticleFEROUZ ASEMA HATEGEMEI KUBEBWA NA VIDEO KWENYE NYIMBO ZAKE
NYOTA wa siku nyingi wa Bongofleva, Ferouz amesema kuwa huwa hategemei nguvu za video katika nyimbo zake kwamadai kwamba ujumbe mzuri unatosha kuwagusa mashabiki.Ferouz amesema ukweli huo ndio...
View ArticleMANCHESTER CITY, PSG ZAMWANIA MIROSLAV KLOSE WA LAZIO
MANCHESTER City na Paris Saint-Germain ni kati ya klabu zinazoonyesha nia ya kutaka kumnasa Miroslav Klose.Miroslav Klose yuko katika kiwango cha juu tangu kuanza kwa msimu huu, hali hiyo ndio...
View ArticleJURGEN KLOPP AMFUKUZIA SERGIO RAMOS
MAJOGOO wa Jiji la London, wanapigana vikumbo na baadhi ya klabu zinazomfukuzia nyota wa Real Madrid, Sergio Ramos, laini wanalazimika kuweka dau la ziada mezani la pauni 24 milioni kwa ajili ya jembe...
View ArticlePEDRO ATIA MSISITIZO WA KUBAKI CHELSEA
STRAIKA wa Matajiri wa Stanford Bridge, Pedro amesisitiza azma yake ya kuendelea kubaki Chelsea, licha ya kuweko na taarifa kuwa anajipanga kwa ajili ya kurejea Hispania.Pedro alijiunga na ‘The Blues’...
View ArticleJUVENTUS WAWANIA SAINI YA SAMIR NASRI
KIBIBI kizee cha Tulin, Juventus wanajiandaa kutuma ofa ya pauni 23 milioni wakitaka saini ya straika wa Manchester City, Samir Nasri.Tarifa za ndani ya klabu ya Juve zinasema kuwa, Nasri amewekwa...
View ArticleNAJMA WA BARAKA DA PRINCE AWAPASHA WANAOWAFATILIA
MWANAMUZIKI Najma Dattan ambaye ni mchumba wa Baraka da Prince amewataka wale wanaowafuatilia na kuwachunguza waache kufanya hivyo kwa vile wameamua wenyewe kuwa wachumba.Kimwana huyo amesema kuwa...
View ArticleMKATABA WA LOUIS VAN GAAL HADI 2017
KLABU ya Manchester United imethibitisha tarifa ya kuwa Louis Van Gaal ataendelea na jukumu la kuiongoza timu hiyo hadi mwishoni mwa mwezi Juni, mwaka huu.Lakini sambamba na hilo, imebainika kuwa...
View ArticleCOUTINHO: JURGEN KLOPP NI KOCHA BORA
MAJOGOO wa Jiji, Liverpool bado hawajarejea katika mstari wa mafanikio tangu kuanza kwa msimu huu, lakini straika Philippe Coutinho amemfagilia kocha wake, Jurgen Klopp kwa kusema ameweza kuleta...
View ArticleMANCHESTER CITY WAMWANIA ANDRE AYEW
STRAIKA wa Swansea, Andre Ayew anawindwa na matajiri wa Jiji la Manchester, Manchester City, ingawa kutakuwa na kazi ya ziada kumng’oa.City imekuwa katika mbio za kumsainisha nyota huyo kwa dau la...
View ArticleSHAA: NAJALI MUONEKANO WANGU KWAVILE NATAMBUA MSANII KIOO CHA JAMII
MSANII wa Bongofleva Sarah Kaisi ‘Shaa’, amesema kuwa siku zote huwa anajali muonekano wake kwa vile anatambua kwamba msanii ni kioo cha jamii.Amesema, msanii hata kama hana pesa anatakiwa kuwa nadhifu...
View ArticleOMMY DIMPOZ AWAKATA MAINI VIMWANA WANAOMGHASI KIMAPENZI
MWANAMUZIKI Ommy Dimpoz amesema kuwa, sasa ana uhakika hatasumbuliwa tena na vimwana ambao wamekuwa wakimganda kumtaka kimapenzi kwakuwa tayari ameshamuweka wazi mpenzi wake.Amesema kuwa katika maisha...
View ArticleTIPTOP WAJIONGEZA KWENYE UJASIRIAMALI
MENEJA wa Tiptop Connection, Babu Tale amesema kuwa sasa kundi hilo limeamua kujiongeza kwa kujitangaza zaidi kibiashara kwa kuandaa vitu mbalimbali vyenye nembo ya jina ‘Tiptop Connection’.Tale...
View ArticleUNAJUA KUWA SHILOLE HAONI AIBU KUONGEA KIINGEREZA KIBOVU? SOMA HAPA
ZUWENA Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa haoni aibu kuzungumza lugha ya Kiingereza kwa makosa akidai kuwa anafanya hivyo kama njia mojawapo ya kujifunza kutokana na makosa.Alisema, Kiingereza sio lugha...
View ArticleDAVINA ADAI WASANII WENGI WANASHINDWA KUFANIKIWA KWA KUJIFANYA WANAJUA KILA KITU
NYOTA wa Bongomuvi ambaye kwa sasa anajishughulisha na biashara, Halima Yahya ‘Davina’, amesema kuwa baadhi ya wasanii wanashindwa kupiga hatua ama kufikia mafanikio kwa sababu ya kujifanya wanajua...
View ArticleSHAMSA FORD ASEMA KUVAA NGUO FUPI SIO KIPIMO CHA UHUNI
SHAMSA Ford alisema kuwa kuvaa nguo fupi sio kipimo kwamba ana tabia mbaya bali ni jambo la kawaida na kila mtu ana mtindo wa mavazi anaoupenda.Mwigizaji huyo wa filamu alisema kuwa kuna baadhi ya...
View ArticleKAJALA MASANJA ANG’ANG’ANIA ULOKOLE
NYOTA wa filamu, Kajala Masanja amesema hawezi kubadili msimamo wake wa kuokoka lichaya kwamba kuna baadhi ya watu wameanza kumsakama kama njia ya kumkatisha tamaa.Msanii huyo alisema kuwa hakukurupuka...
View ArticleWASTARA AGOMA KUOLEWA TENA… asema kuna wanaume wengi wanaotaka kumuoa lakini...
STAA wa Bongomuvi, Wastara Juma, amesema kwa sasa hahitaji ndoa licha ya kuwepo kwa wanaume wanaomfuata, kwa madai kwamba ameshaumizwa vya kutosha.Mwigizaji huyo aliyepitia masaibu mengi ya maisha...
View Article