MANCHESTER UNITED KUMTANGAZA JOSE MOURINHO WIKI IJAYO KAMA KOCHA WAO MPYA
Manchester United inajipanga kumtangaza Jose Mourinho kama kocha wao mpya wiki mapema wiki ijayo, hii ni kwa mujibu wa Shirika la habari la Uingereza - BBC.Kwa mujibu wa BBC, ni kwamba kocha huyo...
View ArticleAUNT EZEKIEL KUACHIA FILAMU YA FAMILIA AKIWA NA MPENZI WAKE, MTOTO WAO
MSANII wa filamu, Aunt Ezekiel, amesema kuwa anajipanga kutoa filamu ya familia ambayo atakuwa amemshirikisha mpenzi wake, Mose Iyobo na mtoto wao, Cookie.Mbali na kuandaa filamu, msanii huyo amesema...
View ArticleLULU ADAI BONGOMUVI INAULIWA NA WASANII WENYEWE KWA UBAHILI WAO KATIKA UANDAAJI
NYOTA wa Bongomuvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema kuwa mafanikio katika filamu yanaambatana na vitu vingi ikiwemo wasanii kuacha ubahiri na kutenga fedha za kutosha wanapoandaa kazi.Lulu amesema...
View ArticleMSONDO NGOMA WAJA NA ‘MSONDO FAMILY DAY’ JUNI 1
Bendi ya Msondo Ngoma “Baba ya Muziki” imeandaa onyesho maalum litakalojulikana kama ‘Msondo Family Day’ mapema mwezi ujao.AKiongea na Saluti5, mmoja wa maseneta wa Msondo, Abdulfareed Hussein,...
View ArticleSAFARI IMEWADIA!!! LOUIS VAN GAAL ASEMA 'IT'S OVER'
Louis van Gaal anaonekana kama vile anakiri kuwa muda wake wa kuwa kocha wa Manchester United umefika ukingoni baada kuondoka London huku akiwaambia waandishi wa habari 'it's over' (imekwisha/imefika...
View ArticleAYA 15 ZA SAID MDOE: NDI NDI NDI!
Hadi leo bado sijaulewa kabisa wimbo wa “Ndi Ndi Ndi” wa msanii nyota wa kizazi kipya Judith Wambura Mbibo“Lady Jay Dee” au Jide, lakini hiyo haiondoi heshima yangu kubwa niliyoweka kwa mwimbaji huyu....
View ArticleBREAKING NEWS!! VAN GAAL ATIMULIWA MANCHESTER UNITED
Manchester United imemtimua kazi kocha wake Louis van Gaal siku mbili tu baada ya kutwaa taji la FA Cup Jumamosi iliyopita kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Crystal Palace.Van Gaal ametimuliwa kufuatia...
View ArticleARSENAL YAZINDUA JEZI ZAO MPYA ZA MSIMU UJAO
Wakati msimu wa Premier League umekamilika wiki moja iliyopita, Arsenal tayari inaangalia mbele kujipanga na msimu ujao kwa kuzindua jezi zao mpya za uwanja wa nyumbani kwa msimu wa 2016/17. Jezi hizo...
View ArticleLUIS SUAREZ ATOA KAULI NZITO KUHUSU LIONE MESSI
KUNA kauli moja amezungumza Luis Suarez kuwa awali hakuwa na ndoto ya kuweza kucheza vyema akiwa katika kikosi kimoja na nyota wa dunia, Lionel Mess.Lakini tangu akiwa Barcelona na kumudu kupewa...
View ArticleMANCHESTER UNITED WASHAURIWA KUMSAJILI DANNY DRINKWATER WA LEICESTER CITY
HUU ni ushauri tu ambao ni juu ya wenyewe, Manchester United kuukubali ama kuupotezea. Katika kinachoaminika kutaka kuona United ikirejea katika kiwango chake cha zamani, Mashetani Wekundu hao...
View ArticleBARCELONA NA REAL MADRID ZAPIGANA KUMBU KUWANIA SAINI YA VICTOR LINDELOF...
KLABU mahasimu katika La Liga Real Madrid na Barcelona zimeingia katika vita ya usajili wa msimu ujao na kujikuta wakimwania kwa pamoja Victor Lindelof.Pamoja na vigogo hao wa Ligi ya Hispania, pia...
View ArticleMANCHESTER CITY YAMPIGIA HESABU BEKI LUKAS BOEDER WA BAYER LEVERKUSEN
MATAJIRI wa jiji la Manchester, Manchester City, wameweka jina la mlinzi wa Bayer Leverkusen, Lukas Boeder katika orodha ya wachezaji wanaowawania katika usajili wa majira ya kiangazi.Kwa mujibu wa...
View ArticleERIC BAILYY AIKATA MAINI REAL MADRID
MLINZI wa katikati wa klabu ya Villareal ya Hispania, Eric Bailly amewaambia Real Madrid kuachana na azma yakutaka kumng’oa kwasababu bado hana sababu ya kutaka kuachana na timu yake ya sasa.Kwa...
View ArticleLIVERPOOL YASAKA KIPA MPYA ...Jurgen Klopp ampigia hesabu Loris Karius wa Mainz
KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp ni kama ameona umuhimu wa kuongeza nguvu katika idara ya ulinzi, upande wa mlinda mlango.Katika azma hiyo ameweka nguvu katika kumwania mlinda mlango kinda anayekipiga...
View ArticleIDADI YA WAKURUGENZI KUONGEZEKA TWANGA PEPETA WIKI HII
Idadi ya wanamuziki waliowahi kuwa na cheo cha ukurugenzi itaongezeka wiki hii ndani ya bendi ya The African Stars “Twanga Pepeta”. Hili ni fumbo linalakaribia kufumbuliwa.Saluti5 ina uhakika kuwa...
View Article“USIYAOGOPE MAISHA” NDIYO JINA LA ALBAM MPYA YA TWANGA INAYOZINDULIWA MWANZA...
Wimbo “Usiyaogope Maisha” uliotungwa na Ally Chocky, ndiyo utakaobeba jina la albam mpya ya Twanga Pepeta itakayozinduliwa Jumamosi hii jijini Mwanza.Hiyo inakuwa ni albam ya 13 kwa Twanga Pepeta...
View ArticleCHRISTIAN BELLA ATUA NA ZAWADI YA “NISHIKE”
Mwimbaji wa dansi mwenye hits kibao Christian Bella amerejea nchini baada ya mapumziko yake ya takriban miezi minne huko Sweden.Hata hivyo Bella hajaja mikono mitupu bali ameshuka na mpango wa kuachia...
View ArticleCOUTINHO ASEMA JURGEN KLOPP NDIYO MPANGO MZIMA LIVERPOOL
MAJOGOO wa Jiji, Liverpool bado hawajarejea katika mstari wa mafanikio tangu kuanza kwa msimu huu, lakini straika Philippe Coutinho amemfagilia kocha wake, Jurgen Klopp kwa kusema ameweza kuleta...
View ArticleMOURINHO KUFANYA KUFURU YA USAJILI MANCHESTER UNITED ...kupewa jeuri ya pauni...
Kocha ajae Manchester United, Jose Mourinho anategemewa kufanya mageuzi makubwa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa usajili wa wachezaji nyota utakaoigharimu timu hiyo takriban pauni milioni 200 katika...
View ArticlePEDRO ASEMA BADO YUPO YUPO CHELEA
STRAIKA wa Matajiri wa Stanford Bridge, Pedro amesisitiza azma yake ya kuendelea kubaki Chelsea, licha ya kuweko na taarifa kuwa anajipanga kwa ajili ya kurejea Hispania.Pedro alijiunga na ‘The Blues’...
View Article