Idadi ya wanamuziki waliowahi kuwa na cheo cha ukurugenzi itaongezeka wiki hii ndani ya bendi ya The African Stars “Twanga Pepeta”. Hili ni fumbo linalakaribia kufumbuliwa.
Saluti5 ina uhakika kuwa idadi ya wanamuziki waliowahi kuwa wakurugenzi itaongezeka kwenye bendi hiyo hadi kufikia watatu.
Kwasasa bendi hiyo ina wanamuziki wawili waliowahi kuwa wakurugenzi na sasa ni muda kuongezwa mkurugenzi mwingine. TUVUTE SUBIRA.