Quantcast
Channel: saluti5
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FEROUZ ASEMA TUNGO ZA SASA ZA BONGO FLAVA NI NYEPESI MNO, ZINATEGEMEA MBELEKO...

NYOTA wa siku nyingi wa Bongo fleva, Ferouz amesema kuwa huwa hategemei nguvu za video katika nyimbo zake kwa madai kwamba ujumbe mzuri unatosha kuwagusa mashabiki.Ferouz amesema ukweli huo ndio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA MAGAZETI YA TANZANIA LEO MAY 24 KWENYE ,SIASA,MICHEZO,WASANII

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GRANIT XHAKA ATUA RASMI ARSENAL

UHAMISHO wa Granit Xhaka kutua Arsenal umeiva bada ya picha za mchezaji huyo akipozi kwa ajili ya kupigwa picha kwenye uwanja wa mazoezi ya klabu hiyo wa London Colney kuvuja.Kiungo huyo, 23, aliwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CARLO ANCELOTTI AMFAGILIA CRISTIANO RONALDO

KOCHA wa zamani wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amebainisha kwamba Cristiano Ronaldo anajitoa kikamilifu katika fani yake kiasi kwamba huoga na maji ya barafu alfajiri, hata kama rafikiye wa kike wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SON HEUNG-MIN WA TOTTENHAM APIGWA BEI

KOCHA wa Tottenham, Mauricio Pochettino amemuweka sokoni mchezaji wake Son Heung-Min raia wa Korea Kusini.mchezaji huyo mwenye miaka 23, hajamaliza hata mwaka mmoja tangu atue Tottenham akitokea Bayer...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAPA GREG NICE ADAI TUPAC SHAKUR ALIPAKAZIWA BIFU

RAPA Greg Nice ameibuka na kusema kuwa baada ya kuzungumza na DJ Vlad aliyefanya kazi na hayati Tupac Shakur, amebaini kuwa mkali huyo wa Hiphop alipakaziwa kuhusu bifu.Alisema amebaini kuwa Tupac...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DALEY BLIND AMLILIA MHOLANZI MWENZAKE LOUIS VAN GAAL... asema alistahili...

DALEY Blind amesema amefadhaishwa na kutimuliwa kazi kwa Louis Van Gaal akiona kwamba kocha huyo Mholanzi mwenzake hakupewa muda wa kutosha madarakani Manchester United.Van Gaal alitimuliwa Jumatatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHIDINMA EKILE WA NIGERIA AACHIA VIDEO MPYA

MWANAMUZIKI wa kike anayefanya vizuri katika Hiphop nchini Nigeria, Chidinma Ekile, ameachia video ya wimbo wake mkali ‘Lorry’ akimshirikisha MI Abaga.Mkali huyo amesema wimbo huo utakuwa kwenye albamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRISTIANO RONALDO AUMIA MAZOEZINI NA KUWAPANDISHA PRESHA MASHABIKI WA REAL...

CRISTIANO Ronaldo juzi Jumanne aliwapandisha presha mashabiki wa Real Madrid bada ya kushindwa kumaliza mazoezi kutokana na kuumia baada ya kugongana na kipaKiko Casilla na kuzua shaka kama ataweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAVID SILVA ASEMA YUKO FITI KUCHEZA EURO

DAVID Silva amesema amepona majeraha na yuko tayari kutoa mchango mkubwa katika kuiwezesha timu ya taifa ya Hispania kupata mafanikio katika fainali za Mataifa ya Ulaya 2016 mwezi ujao.Silva hajacheza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEST HAM KUMPIGA PINI AARON CRESSWELL

KLABU ya West Ham imepanga kumzuia mchezaji wake Aaron Cresswell kwa kumsainisha mkataba mpya wa miaka mitano.Mchezaji huyo anayemudu zaidi nafasi ya mlinzi wa pembeni kushoto, amekuwa akiwaniwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YOSHINORI MUTO WA FSV MAINZ KUTUA MANCHESTER UNITED

MANCHESTER United imepanga kumsajili Yoshinori Muto anayekipiga FSV Mainz 05 ya Ujerumani, kwa aili ya msimu ujao.Kwa mujibu wa tarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, imeeleza kuwa mchezaji huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JACK WILSHERE AMLALAMIKIA ARSENE WENGER KUMUUA KISOKA

JACK Wilshere amemshambulia kocha Arsene Wenger kwamba anamuua kwa kumchezesha katika nafasi isiyo yake klabuni Arsenal.Kiungo huyo, 24, amekuwa akichezeshwa katika kiungo cha pembeni kwenye klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOUTHAMPTON YAMNYATIA DENNIS PRAET WA ANDERLECHT

KLABU ya Southampton inazidi kumnyatia nyota wa Anderlecht ya Ubelgiji, Dennis Praet kwa ada ya pauni mil 10.Dennis Praet mwenye miaka 22, amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake wa kuitumikia klabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRISTIANO RONALDO ATOA MTAZAMO WAKE KUHUSU MOURINHO KWENDA MANCHESTER UNITED

Cristiano Ronaldo amemkingia kifua kocha mpya ajaye Manchester United Jose Mourunho kwa kusema huyo ndiye mtu sahihi wa kuirejesha klabu hiyo katika enzi za kuzoa mataji.Mourinho anakuwa kocha mpya wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHESTER UNITED 'YAPATA' MBADALA WA RENATO SANCHES ,,, ni Saul Niguez wa...

Manchester United imedhamiria kumsajili Saul Niguez wa Atletico Madrid kwa pauni milioni 54 kuelekea utawala mpya wa Jose Mourinho.Saul ni moja kati ya vipaji vinavyotikisa Hispania na goli lake la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWANGA PEPETA MPANGO MZIMA NI JUMAMOSI HII MWANZA …albam ya “Usiyaogope...

Sasa tunahesabu masaa tu kabla ya bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” kuzindua albamu yake ya 13 ijulikanayo kwa jina la “Usiyaogope Maisha”  mkoani ndani ya ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 18: NACHINGWEA YASALIM AMRI KWA MASHAUZI CLASSIC …ukumbi wa NR ‘watapika’

Kundi la Mashauzi Classic chini yake Isha Mashauzi, limefanya kweli katika mji wa Nachingwea kwa kuachia bonge la burudani lililoshuhudiwa na umati mkubwa wa mashabiki.Onyesho hilo lililofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHUJAA BAND YAITWANGA ONYO KALI TWANGA PEPETA, CHAZ BABA …kuburuzwa...

Bendi ya Mashujaa imetoa onyo kali kwa bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” juu ya matumizi yao kwa mwimbaji Chaz Baba.Mashujaa imesema ikibidi wataiburuza mahakamani Twanga Pepeta pale bendi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE YAMETIMIA, CHOKORAA RASMI TWANGA PEPETA …kutambulishwa Mango Juni 4,...

Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye mambo sasa yako hadharani. Khalid Chokoraa amerejea rasmi  Twanga Pepeta.Habari za uhakika zilizopenyezwa Saluti5 zinasema Chokoraa ameamua kurejea nyumbani na...

View Article
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live