KOCHA wa Tottenham, Mauricio Pochettino amemuweka sokoni mchezaji wake Son Heung-Min raia wa Korea Kusini.
mchezaji huyo mwenye miaka 23, hajamaliza hata mwaka mmoja tangu atue Tottenham akitokea Bayer Leverkusen ya Ujerumani.
Tottenham ilitoa kiasi cha pauni mil 22 na kocha huyo amesema pia kwamba atapokea ofa za wachezaji Nabil Bentaleb na Ryan Mason