Quantcast
Channel: saluti5
Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

MACHESTER UNITED 'YAPATA' MBADALA WA RENATO SANCHES ,,, ni Saul Niguez wa Atletico Madrid, pauni mil 54 zatengwa

$
0
0
Manchester United imedhamiria kumsajili Saul Niguez wa Atletico Madrid kwa pauni milioni 54 kuelekea utawala mpya wa Jose Mourinho.

Saul ni moja kati ya vipaji vinavyotikisa Hispania na goli lake la juhudi binafsi dhidi ya  Bayern Munich katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, linaanika hadharani kipaji chake cha kipekee.

Kiungo huyo wa miaka 21 anawekwa kwenye mizani moja na Renato Sanches ambaye United ilitaka kumsajili lakini akachagua kujiunga na Bayern Munich.

Atletico Madrid midfielder Saul Niguez is among Manchester United's list of summer transfer targets
Kiungo wa Atletico Madrid Saul Niguez anawaniwa na Manchester United
Niguez scored a delightful goal against Bayern Munich to help his side progress to the Champions League final
Niguez akigunga bao tamu dhidi ya Bayern Munich


Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>