Quantcast
Channel: saluti5
Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

SHAA: NAJALI MUONEKANO WANGU KWAVILE NATAMBUA MSANII KIOO CHA JAMII

$
0
0


MSANII wa Bongofleva Sarah Kaisi ‘Shaa’, amesema kuwa siku zote huwa anajali muonekano wake kwa vile anatambua kwamba msanii ni kioo cha jamii.

Amesema, msanii hata kama hana pesa anatakiwa kuwa nadhifu na ni vizuri kujipenda ili kuvutia mashabiki kuliko kuvaa kienyeji na kuonekana kero kwao badala ya kuwavutia.

“Mimi huwa naogopa sana kuonekana vibaya mbele za watu, ndio maana ninajipenda na huwa sioni shida kutumia pesa nyingi kujigharamia kwa ajili ya muonekano wangu,” alisema Shaa.
 
Alisema kuwa, wapo baadhi ya wasanii ambao ni wabahili na wamekuwa wakishindwa kujiweka vizuri kwa mavazi kwa kusingizia kipato kidogo wakati ukweli ni kwamba unaweza kujing’arisha hata kwa kipato kiduchu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 8805

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>