SPIKA WA BUNGE AWADHIHAKI YANGA KWA KUWAITA "4G"
SPIKA wa bunge la Jamhuli ya Muungano wa Tanzania, mh. Job Dungai juzi katika kikao cha bunge aliwatupia dongo Yanga ambao mwishoni mwa wiki iliyopita walichalazwa mabao 4-0 na MC Alger ya Algeria na...
View ArticleREHEMA TAJIRI ATOA SOMO ZITO KWA WASANII WA FILAMU BONGO... ammiminia sifa...
WASANII wa filamu Bongo wameshauriwa kuanza kuandaa kazi zitakazowavutia mashabiki na kuwafanya wasahau habari za Tamthilia za kutoka nje ya nchi na kurudisha mawazo yao katika muvi za nyumbani.Ushauri...
View ArticleMSONDO NGOMA SASA KILA ALHAMISI NI EQUATOR GRILL MTONI KWA AZIZI ALLY
KILA Alhamisi kuanzia wiki ijayo, wakongwe wa muziki wa dansi, Msondo Ngoma Music Band watapatikana ndani ya Equator Grill, Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam, imefahamika.Bosi wa Equator Grill,...
View ArticleHARMONIZE, RICH MAVOKO WAACHIA WIMBO WA PAMOJA UITWAO "SHOW ME"
MARAPA wa Bongofleva Harmonize na Rich Mavoko ambao wanafanya kazi chini ya lebo ya Wasafi Class Baby, wameachia wimbo wa pamoja unaojulikana kwa jina la "Show Me."Kampuni ya Wasafi ambayo inaongozwa...
View ArticleKOCHA LWANDAMINA AAPA KUIPIGANIA YANGA MICHUANO YA KIMATAIFA MSIMU UJAO
KOCHA wa timu ya Yanga, Geogre Lwandamina raia wa Zambia amesema kuwa watafanya kila linalowezekana kuhakikisha wanarejea tena kwenye michuano ya kimataifa msimu ujao.Yanga inakamata nafasi ya pili...
View ArticleNAVY KENZO WAENDELEA KUTESA NA SHOO ZA KIBABE NCHINI ISRAEL
KUNDI la Wapenzi la Navy Kenzo linaendelea kufanya vyema kwenye shoo zake chini Israel na kuteka hisia za mashabiki wake katika jiji la Tel Aviv.Wamemaliza kufanya tamasha katika ukumbi wa Club Barie...
View ArticleROMA MKATOLIKI ASHAURIWA KUSAHAU TUKIO LA KUTEKWA NA KUGANGA YAJAYO
RAPA Bill Nass amemtaka mwanamuziki mwenzie wa Bongofleva Roma Mkatoliki kusahau tukio la kutekwa na na upiga kazi yake ya muziki kama kawaida.Akizungumza na saluti5, Bill Nass alisema kuwa hakuna haja...
View ArticlePAUL SCHOLES ASEMA MARCUS RASHFORD NI ANGA ZA CRISTIANO RONALDO NA NEYMAR
Kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes amesema mshambuliaji kinda wa klabu hiyo, Marcus Rashford ana vigezo vyote vya kufikia uwezo Cristiano Ronaldo na Neymar. Rashford amefunga magoli...
View ArticleCHEGGE ASEMA MASHABIKI HAWAJAELEWA MAANA YA WIMBO WAKE MPYA WA "GO DOWN"
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya, Chege Chigunda amesema kuwa watu bado hawajauelewa wimbo wake mpya wa "Go Down" ambao ameufanya na rafiki yake mkubwa, Mheshimiwa Temba.Chege alisema kuwa licha ya watu...
View ArticleKIPA WA AFRICAN LYON ANUKIA YANGA... atishia uwepo wa Barthez kikosini
YANGA ipo kwenye hatua nzuri ya kumnasa kipa hatari wa Africon Lyon, Youthe Rostand ambaye anatakiwa katika kikosi hicho kuja kuwapa changamoto wenzake wawili.Taarifa kutoka ndani Yanga zinasema kwamba...
View Article‘WEEKEND BONANZA’ YAWAPA ZA USO MARAPA WA DANSI WALIOKIMBILIA SINGELI
Marapa wa muziki wa dansi waliojitosa kwenye muziki wa singeli wamefananishwa na watu waliofilisika mawazo.Hayo yalisemwa jana usiku kupitia kipindi cha Weekend Bonanza cha Clouds FM ambapo marapa hao...
View ArticleMWANAMUZIKI HUYU ANATOA TASWIRA GANI KWA ‘MITUNGI’ HII YA MWENDO KASI?
Hii ni picha mwezi Machi mwaka huu, Jumapili fulani katika mji wa Dodoma ndani ya ukumbi wa Victoria Pub.Pichani ni mwanamuziki mwenye vidole hatari kwa kuchambua nyuzi za gitaa la solo na rhythm, kwa...
View ArticleHATIMAYE MOURINHO AMKUMBUKA ROONEY …Rashford aanzia benchi
Kocha Jose Mourinho amemwanzisha Rooney kwenye mchezo Premier League dhidi ya Burnley.Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Rooney kuwa kwenye kikosi kinachoanza tangu sikukuu ya Christmas.Mourinho amefanya...
View ArticleANTHONY MARTIAL NA ROONEY PROVE WATHIBITISHA KUNA MAISHA BILA IBRAHIMOVIC
Anthony Martial na Wayne Rooney wamethibitisha kuwa Manchester United bado ni imara bila Zlatan Ibrahimovic ambaye atakosa msimu mzima uliobakia baada ya kuumia goti.Washambuliaji hao wawili kila mmoja...
View ArticleMANCHESTER CITY KUMALIZA MSIMU MIKONO MITUPU, YANG’OLEWA FA CUP NA ARSENAL...
Manchester City imetupwa nje na Arsenal katika michuano ya FA Cup baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa Wembley na kwenda hadi 'extra time'.Hii ni dalili tosha kuwa Manchester...
View ArticleLIVERPOOL HOI KWA CRYSTAL PALACE …Christian Benteke aweka apeleka kilio Anfield
Christian Benteke mshambuliaji wa zamani wa Liverpool aliyetemwa na kocha Jurgen Klopp, amerejea Anfield na kuwaadhibu waajiri wake wa zamani kwenye mchezo wa Premier League.Akiichezea Crystal Palace,...
View ArticleBAO LA MARTIAL LAJA NA ‘MAUMIVU’ …MANCHESTER UNITED KUILIPA MONACO PAUNI MIL...
Manchester United italazimika kuandika hundi ya pauni milioni 8.5 kwenda klabu ya Monaco baada ya Anthony Martial kufikisha goli lake la 25.Sehemu ya mkataba wa uliofikiwa wakati United ikimnunua...
View ArticleBARCELONA YAONGOZA LIGI BAADA YA KUICHAPA REAL MADRID … Sergio Ramos alambwa...
Barcelona inaongoza La Liga kwa tofauti ya magoli baada ya kuinyuka Real Madrid 3-2 katika ‘El Clasico’ iliyopigwa Santiago Bernabeu.Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi aliyekuwa akichezewa rafu za mara...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AUITA UONGOZI WA SIMBA NA KUTETA NAO OFISINI KWAKE
UONGOZI mzima wa klabu ya Simba jana umefanya kikao na waziri mwenye dhamana ya michezo Dk. Harrison Mwakyembe mjini Dodoma.Taarifa ya Wiziri ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo kupitia ukurasa wake...
View ArticleTIMU YA WAVU MAGEREZA YAPANIA UBINGWA WA MUUNGANO
KOCHA mkuu wa timu ya mpira wa wavu Magereza ya jijini Dar es Salaam, Edwin Masinga amepania kuibuka na ubingwa wa mashindano ya kuwania Klabu Bingwa ya Muungano.Mashindano hayo yanaendelea kutimua...
View Article