OKWI, KASEJA MBIONI KUREJEA SIMBA SC... wamo pia mastaa wengine watatu kutoka...
SIMBA imesikia kwamba baaadhi ya timu zimeanza kuwinda majina ya wachezaji wake kuelekea usajili ujao wa Ligi Kuu msimu wa 2017/18 lakini haijali.Badala yake wekundu hao wa Msimbazi tayari wamejibu...
View ArticleGIDABUDAY ATHIBITISHA WANARIADHA VIJANA WANAENDELEA VYEMA NA KAMBI SEKONDARI...
KIKOSI cha timu ya Taifa ya wanawake na wanaume ya vijana chini ya miaka 17 ya riadha, inaendelea na kambi kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya kimataifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Afrika...
View ArticleWISTON KALENGO SASA AKUBALI KUTUA JANGWANI... ajirudisha na kuwaita rasmi...
USAJILI ulioshindikana dirisha la usajili uliopita huenda ukarudi kwa kishindo mwezi mmoja ujao baada ya mshambuliaji raia wa Zambia, Wiston Kalengo kujirudisha rasmi akiwaita mezani Yanga.Kalengo...
View ArticleABDI BANDA AKIRI ALIKOSEA KUMTANDIKA NGUMI MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR
BEKI wa kati wa Simba, Abdi Banda amekiri kwamba alifanya makosa katika mechi dhidi ya Kagera Sugar kwa kumtandika ngumi mchezaji wa timu hiyo, Geogre Kavila.Baada ya Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la...
View ArticleMAANDALIZI YA UMISETA YAANZA KWA SEMINA DODOMA
MAAFISA Elimu wa mikoa wamenufaika na semina elekezi ya maandalizi ya michezo ya shule za sekondari (UMISETA), iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa chuo cha mipango mjini Dodoma.Semina hiyo...
View ArticleMICHO AITABIRIA SIMBA SC UBINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU HUU
“TIMU ya soka ya Simba ina kikosi imara na kama watacheza hivi hadi mwisho wa Ligi basi wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa.”Hiyo ni kauli ya kocha wa timu ya taifa ya Uganda"The Cranes" Milutin...
View ArticleTAMBWE SIFU BAO LA MKONO ALILOWAFUNGA SIMBA KIMAGUMASHI
MSHAMBULIAJI wa timu ya Yanga, Amisi Tambwe raia wa Burundi ametonesha kidonda cha Simba baada ya kusema kuwa bao alilowafunga kwa mkono ndio goli lake bora tangu atue kucheza Ligi Kuu...
View ArticleMTIBWA SUGAR YAKANUSHA UVUMI WA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA YA WACHEZAJI WAO
KUFUATIA uvumi ulioenea kwa wadau wa soka kuwa klabu ya Mtibwa imeshindwa kuwalipa mishahara wachezaji, uongozi wa timu hiyo ya Manungu Turiani Morogoro umeibuka na kukanusha madai hayo.Ofisa habari wa...
View ArticleP-SQUARE WAJA NA KIBAO KIPYA CHA "NOBODY UGLY"
MARAPA pacha wanaounda kundi la P-Square ambao waliripotiwa kuwa katika bifu la wao kwa wao, hivi sasa wameachia wimbo ya “Nobody Ugly".Tayari wamekamilisha video ya wimbo huo na hivi karibuni...
View ArticleHAJI MANARA ASEMA MAPAMBANO YA KUDAI HAKI NDIO KWANZA YANAANZA …atoa...
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye amefungiwa na TFF kwa mwaka mmoja pamoja na kupigwa faini ya milioni 9, amesema mapambano ya kudai haki ndio kwanza yanaanza.Akiandika kupitia...
View ArticleHATIMAYE NEWCASTLE YAREJEA PREMIER LEAGUE LAKINI HATMA YA RAFA BENITEZ IPO...
Hatimaye kocha Rafa Benitez amefanikiwa kuirejesha Newcastle United katika Premier League - lakini amekataa kuahidi chochote iwapo ataendelea kuifunidsha timu hiyo msimu ujao au la.Newcastle imerejea...
View ArticleGUARDIOLA KUMPELEKA MAN CITY DELE ALLI KWA DAU LA REKODI MPYA YA DUNIA
Pep Guardiola ana kiu ya kumtwaa nyota wa Tottenham Dele Alli na kumpeleka Manchester City katika dili litakalo vunja rekodi ya dunia, hii ni kwa mujibu wa kiungo wa zamani wa Barcelona Xavi.Alli,...
View ArticleANTOINE GRIEZMANN KUONGEZA MAKALI YA POGBA MANCHESTER UNITED …dau la pauni...
Ni wazi kuwa safari ya Antoine Griezmann kwenda Manchester United haikwepeki, dau la pauni milioni 85 linalotajwa halizuiliki.United ipo tayari kuweka mezani pauni milioni 85 ambazo zinatosha kufikia...
View ArticleMO DEWJI AFANYA MAKUBWA SIMBA SC... aanzisha mchakato wa kuirejesha timu...
BILIONEA wa Simba Sc, Mohammed Dewji imeanzisha mchakato wa kuirejesha timu hiyo katika makali yake, imefanikiwa.Habari ambazo zimepatikana zinasema kwamba Mohamed ambaye ameshaomba kumiliki hisa za...
View ArticleMAMBO MAGUMU AZAM FC, YAWAANGUKIA MASHABIKI
KOCHA wa Azama FC, Aristica Cioaba amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwaunga mkono katika kipindi hiki kigumu ambapo wanakabiliana na kibarua cha kusaka nafasi ya kushiriki kwenye Kombe la CAF mwakani...
View ArticlePATACHIMBIKA TRAVERTINE JUMAPILI HII, WAKALI WATANO NA BENDI ZAO TANO JUKWAA...
Jumapili hii kutakuwa na mchuano mkali wa waimbaji nyota watano wa muziki wa taarab ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel, Magomeni jijini Dar es Salaam.Lakini kama vile hiyo haitoshi, waimbaji hao...
View ArticleGENEVIEVE NNAJI AGEUKIA UTAYARISHAJI FILAMU
STAA wa filamu nchini Nigeria, Genevieve Nnaji amegeukia fani ya utayarishaji wa sinema, kazi ambayo hakuwahi kuifanya katika maisha yake yote ya sanaa.Genevieve ameamua kufanya kazi hiyo kwa kuanzia...
View ArticleMSUVA ASEMA KIPIGO WALICHOWAPA PRISONS NI SALAMU KWA TIMU NYINGINE ZILIZOBAKI
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Simon Msuva amesema kipigo cha mabao 3-0 walichokitoa kwa Prisons ni dalili mbaya kwa timu pinzani watakazokutana nazo katika kumalizia msimu baada ya safu yao ya ushambuliaji...
View ArticleIVORY BAND YAINGIA STUDIO KUPAKUA KETE YAO YA PILI
MUDA huu Ivory Band iko ndani ya Studio ya Amoroso Sound ikipakua kibao chao kipya kinachokwenda kwa jina la “Shika Moyo”, ambacho ni utunzi wake mwimbaji Rama Pentagone.Mmoja wa wakurugenzi wa bendi...
View ArticleJAHAZI MODERN TAARAB WAKO DODOMA LEO USIKU …kesho ndani ya Mpwapwa
Kundi la Jahazi Modern Taarab “Wana wa Nakshi Nakshi” leo usiku litarindima mjini Dodoma ndani ya ukumbi wa Perugina.Mmoja wa wanamuziki waandamizi wa Jahazi, Ally Jay ameiambia Saluti5 kuwa onyesho...
View Article