VITA YA KUEPUKA KUSHUKA DARAJA YAPAMBA MOTO LIGI KUU TANZANIA BARA
MZUNGUUKO wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara ukiwa ukingoni, vita ya kupigania kutoshuka daraja inaonekana kuziganda timu nne za chini ambazo ni Majimaji ya Songea, JKT Ruvu, Ndanda na Toto African ambayo...
View ArticleKOCHA JOSEPH OMOG AWATULIZA PRESHA MASHABIKI WA SIMBA... awaambia "tulieni,...
KOCHA wa Simba, Joseph Omog amesema hana wasiwasi hata kdogo kwamba ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu utatua Msimbazi.Omog ambaye ni raia wa Cameroon, amesema mipango yake haijaharibika kabisa baada ya...
View ArticleKIMENUKA KAGERA SUGAR... viongozi washikana uchawi kwa kadi tatu za Fakhi
KUMEZUKA sintomfahamu kubwa katika timu ya Kagera Sugar baada ya baadhi ya viongozi kulaumiana katika suala la beki wao Mohammed Fakhi.Habari zinasema kwamba baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema kwamba...
View ArticleEUROPA LEAGUE: MANCHESTER UNITED YATINGA NUSU FAINALI KWA MBINDE …Rashford...
Manchester United wamelazimika kwenda hadi dakika 30 za ziada (Extra time) ili kufuzu hatua ya nusu fainaili ya Europa League.Hatua hiyo iliwasili baada ya United kulazimishwa sare ya 1-1 na Anderlecht...
View ArticleCELTA VIGO YAING’OA GENK YA SAMATA EUROPA LEAGUE …Ajax na Lyon nazo zatinga...
Timu ya K.R.C. Genk ya Ugiriki anayokipiga Mbwana Samatta wa Tanzania, imeshindwa kuvuzu hatua ya nusu fainali ya Europa League baada kutolewa na Celta Vigo ya Hispania kwa jumla ya bao 4-3.Genk...
View ArticleKWA USHANGILIAJI HUU UNAWEZA UKAMLAMBA KIBAO MOURINHO
Hivi ndivyo kocha wa Manchester United Jose Mourinho alivyolipokea bao la ushindi lililofungwa na Rashford dakika ya 107 ambapo kocha huyo mwenye makeke mengi alijikuta akishngilia kwa staili ya...
View ArticleZLATAN IBRAHIMOVIC HATARINI KUTOCHEZA TENA MSIMU HUU
Zlatan Ibrahimovic ameumia vibaya goti ukingoni kabisa mwa dakika 90 za mchezo wa Europa League Alhamisi usiku dhidi ya Anderlecht.Mshambuliaji huyo wa Manchester United aliruka juu na kutua vibaya...
View ArticleROJO ALIA MUNGU NA WAKE BAADA YA KUUMIA GOTI NA KUTOLEWA KWA MACHELA
Manchester United imekumbwa na balaa lingine la majeruhi baada ya sentahafu wake tegemeo Marcos Rojo kuumia na kutolewa nje kwa machela kwenye mchezo wa Europa League dhidi ya Anderlecht.Beki huyo wa...
View ArticleKHADIJA KOPA ALIVYOACHA GUMZO DODOMA KWA SHOW KALI YA “USIKU WA MAKOPA”
Jumanne usiku ndani ya mji wa Dodoma kunako chimbo la maraha la Club Maisha, malkia wa mipasho Khadija Kopa alipiga show ya kibabe iliyopewa jina la “Usiku wa Makopa”Khadija Kopa aliyetumbuiza kwa...
View ArticleMSUVA AWAHAKIKISHIA WANA YANGA USHINDI DHIDI YA PRISON JUMAMOSI
KINARA wa ufungaji kwenye michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Simon Msuva amesema kuwa watahakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Prison ili kutimiza azma yao ya kutetea...
View ArticleSIMBA SC YAIKATA MAINI YANGA... Mkude, Ajib sasa kubaki Msimbazi hadi 2019
SIMBA imemalizana na wechezaji wake wawili muhimu waliokuwa wakidaiwa kutakiwa na Yanga, nahodha Jonas Mkunde na Ibrahim Ajib, imefahamika.Habari za uhakika kutoka ndani ya Simba zinasema kwamba...
View ArticleKIMYA CHA MATAJIRI KATIKA KUINUSURU YANGA SC CHAWASIKITISHA WANACHAMA
KLABU ya Yanga inapita kwenye kipindi cha mpito hivi sasa tangu Mwenyekiti wake, Yusuph Manji apate matatizo binafsi zaidi ya mwezi mmoja ulopita.Imeripotiwa kuwepo kwa madai ya wachezaji ambao...
View ArticleSIMBA YASHANGAZWA NA MADAI YA KUMNUNUA KIPA WA MBAO FC KWENYE MECHI DHIDI YAO
KLABU ya Simba imesema kwamba timu ya Mbao FC ya Mwanza imemwonea bure kipa wao, Erick Ngwengwe kumsimamisha kwa madai ya kuhongwa na Simba katika mechi yao ya hivi karibuni.Mwenyekiti wa Kamati ya...
View ArticleMOURINHO MIKONONI MWA CELTA VIGO ...Jurgen Klopp aipa Man United ubingwa...
Manchester United chini ya kocha Jose Murinho imepangiwa Celta Vigo ya Hispania kwenye nusu fainali ya Europa League.Vijana hao wa Jose Mourinho watacheza mchezo wa kwanza ugenini Mei 4 kabla ya...
View ArticleMANCHESTER UNITED YATOA POLE KWA WALIOFARIKI WAKATI WAKIANGALIA MCHEZO WAO...
Watu 30 nchini Nigeri wanatajwa kufariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya kugongwa waya wenye nguvu kubwa za umeme wakati wakitazama mechi kati ya Manchester United ya Uingereza na Anderlecht...
View ArticleBEKI WA ZAMANI ENGLAND NA ASTON VILLA UGO EHIOGU AFARIKI GHAFLA
Beki wa zamani wa timu ya taifa ya England na Aston Villa Ugo Ehiogu amefariki akiwa na umri wa miaka 44 baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo Alhamisi.Ehiogu alipatwa na mshtuko wa moyo akiwa katika...
View ArticleNI MECHI YA KISASI REAL MADRID NA ATLETICO ...Monaco na Juve wapewa heshima...
Mabingwa watetezi Real Madrid wanakutana na wapinzani wao wa mji mmoja Atlectico Madrid kwenye nusu fainali ya Champions League.Real wataanzia nyumbani Mei 2 na kisha kurudiana ugenini Mei 10 ambapo...
View ArticleMANARA: ACHA WAMWAGE MBOGA SISI TUTABIDUA BAKULI TUKOSE WOTE
WADAU wa soka hapa nchini wanalalamika sana kwamba Shirikisho la soka hapa nchini (TFF) linaharibu mpira wa miguu kwa kuipendelea sana Yanga katika baadhi ya mambo.Lakini pia klabu ya Simba imelalamika...
View ArticleMANJI ASUKA MIKAKATI YA UBINGWA JANGWANI, AWAITA TENA BIN KLEB, SEIF MAGARI...
KATIKA kuhakikisha Yanga inachukua taji la ubingwa msimu wa tatu mfululizo, Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amefanya maamuzi ya kiume kwa kupwapa majukumu maalumu Vigogo wawili hatari waliowahi...
View ArticleJUMA KATUNDU WA MSONDO NGOMA NA ABDALLAH HEMBA WA SIKINDE NGOMA YA UKAE...
WAIMBAJI Juma Katundu na Abdallah Hemba wametupia kwenye mtandao wa kijamii picha waliyopiga pamoja na kuipa maneno mengi chini yake wakisisitiza kuwa wao watabaki kuwa ndugu wanaotoka mkoa mmoja wa...
View Article