SHOLO MWAMBA SASA ATAFUTA "KIKI" ZA KIMATAIFA ZAIDI
MKALI wa Singeli Bongo, Seif Mwinjuma ‘Sholo Mwamba’, amesema kuwa baada ya kukubalika kila kona ya Tanzania, hivi sasa anatafuta njia ya kujitangaza kimataifa kwa kuachia kazi zenye ubora wa hali ya...
View ArticleJUMA KATUNDU WA MSONDO NGOMA ASEMA KIMYA CHAKE KINA MAANA YA MASHINDO MKUBWA
MWIMBAJI nguli wa Msondo Ngoma, Juma Katundu amesema kimya chake cha muda mrefu bila kuachia wimbo kina maana ya mshindo mkubwa atakapoamua kuanza kufanya vitu vyake.Katundu ambaye ni kati ya waimbaji...
View ArticleBAYERN MUNICH HAWATAMSAHAU CRISTIANO RONALDO MILELE NA MILELE ...Real Madrid...
Bayern Munich wametolewa na Real Madrid kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kulambwa 4-2 katika mchezo wa robo fainali uliokwenda hadi dakika 30 za nyongeza.Hadi dakika 90 za kawaida zinamalizika Bayern...
View ArticleJAHAZI MODERN, TOT TAARAB JUKWAA MOJA APRILI 28 CCM MWINJUMA
MOTO mkubwa wa burudani unatarajiwa kuwaka Aprili 28, mwaka huu pale bendi mbili za mipasho za Jahazi Modern Taarab na Tanzania One Theatre (TOT), zitakapotumbuiza jukwaa moja.Burudani hiyo...
View ArticleMBIO ZA LEICESTER CITY ZAISHIA KWA ATLETICO MADRID
Leicester City 1-1 Atletico Madrid. Ndivyo ubao ulivyosomeka baada ya mchezo wa marudiano wa robo fainali baina ya wakali wao wa England na Hispania.Matokeo hayo yanawang'oa Leicester kwenye michuano...
View ArticleJURGEN KLOPP ATAMANI KUMALIZIA UKOCHA WAKE LIVERPOOL
Jurgen Klopp amekiri kuwa huenda akamalizia maisha yake ya ukocha Liverpool ingawa anajua kuwa analazimika kushinda mataji kwanza. Kocha huyo raia wa Ujerumani amesema hatarajii kufikisha klabu 10...
View ArticleBELLE 9 ASEMA KIFO CHA BABA YAKE KIMEMWACHA KATIKA WAKATI MGUMU
MSANII Abelinego Damian maarufu kama “Belle 9” amesema kuwa, kifo cha baba yake mzazi, Damian Nyamoga aliyefariki usiku wa kuamkia jana kwa ajali ya pikipiki, kimemwacha katika wakati mgumu...
View ArticleDOKII: KUCHEZA FILAMU NAFASI YA "MWANAMKE JAMBAZI" INANIWIA VIGUMU
MCHEZA filamu nguli wa kike aliyewahi kujipatia umaarufu mkubwa kwa kuigiza kama Mkenya, “Dokii” amesema kuwa miongoni mwa nafasi ngumu kwake kucheza kwenye muvi kwa sasa ni uhusika wa “dada...
View Article"KOMANDOO" HAMZA KALALA AUNGANA NA RASHID PEMBE, ZAHIR ALLY NA KING MALUU...
MKONGWE wa muziki wa dansi, Hamza Kalala “Komandoo” ametia msisitizo kuwa muziki wao bado una nafasi yake kwenye jamii na kwamba dhana ya kuwa umepoteza msisimko inavumishwa na baadhi ya wadau wenye...
View ArticleMSONDO NGOMA FAMILY DAY SASA KILA MWEZI KAMA KAWA... kupumzika mwezi Juni...
NYOMI walilolipata kwenye shoo yao ya “Msondo Ngoma Family Day” lililorindima Jumapili ya Pasaka ndani ya Bulyaga, Temeke, limewafanya Msondo Ngoma Music Band kutangaza kuendelea na utaratibu wao wa...
View ArticleMO MUSIC AWATAKA MASHABIKI KUKAA MKAO WA KULA... amficha aliyempa shavu...
MKALI wa bongofleva, Mo Music amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kusubiri ujio wake mpya katika kibao ambacho amefanya na msanii aliyeamua kuficha jina lake hadi hapo kibao hicho...
View ArticleBANANA ZORRO AMMIMINIA SIFA MRISHO MPOTO
BOSI wa B Band, Banana Zorro amemmwagia sifa mwanamuziki wa kiharakati, Mrisho Mpoto akisema kuwa ni miongoni mwa wasanii wanaompa raha pale anaposikiliza kazi zake ambazo mara zote hubeba ujumbe mzito...
View ArticleMTUNZI WA MASHAIRI YA MIPASHO BONGO AKIRI KUSHUKA KWA MUZIKI WA TAARAB
MTUNZI nguli wa mashairi ya taarab, Al-hatib Job amekiri kuwa muziki huo umepoteza msisimko kwa kiasi kikubwa huku akisema kuwa hali hiyo imechangiwa zaidi na kuhamahama kwa wasanii lililotokea kwa...
View ArticleAFANDE SELE ATOA SALAMU ZA POLE KWA BELLE 9
MKONGWE wa bongofleva, Selemani Msindi “Afande Sele” amempa pole msanii mwenzie wa miondoko hiyo, Belle 9, kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Damian Nyamoga kilichotokea usiku wa kuamkia jana kwa...
View ArticleHAKUNA 'GANDA LA NDIZI' KWA BARCELONA, YATUPWA NJE NA JUVENTUS
Kama mashabiki wa Barcelona walidhani uwanja wao wa Nou Camp utawapa mtelemko wa kurudisha bao 3-0 walizofungwa na Juventus, basi kwa sasa hawana kingine zaidi ya kuugulia maumivu.Juventus imefanikiwa...
View ArticleMONACO WASIKIE HIVYO HIVYO, BORUSSIA DORTMUND YAKALISHWA 3-1 …Mbappe, Falcao...
Monaco imeifumua Borussia Dortmund 3-1 na kutinga nusu fainali ya Champions League kwa jumla ya mabao 6-3 kufuatia ushindi wa 3-2 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Ujerumani.Mshambuliaji kinda Kylian...
View ArticleMBWANA SAMATTA KUREJEA UWANJANI LEO KOMBE LA EUROPA
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta anatarajia kurejea uwanjani leo kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Europa dhidi ya Celta Vigo...
View ArticleWANACHAMA WA YANGA WAKITAKA KIKOSI CHA TIMU YAO KUTETEA UBINGWA WA LIGI KUU...
WANACHAMA wa Yanga wamekipa kikosi hicho kazi ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ili kulinda heshima ya klabu.Yanga imetolewa kjwenye Kombe la CAF na inakabiliwa na michuano ya Ligi Kuu Bara...
View ArticleMWAMUZI MTANZANIA APEWA SHAVU AFCON U17
MWAMUZI wa Tanzania, Frank John Komba amekuwa miongoni mwa waamuzi waliopata nafasi ya kuchezesha kwenye michuano ya Afrika kwa vijana mwenye umri chini ya miaka 17 inayotarajia kufanyika nchini...
View ArticleMDOMO WA HAJI MANARA WAIWEKA SIMBA SC KATIKA HALI YA HATARI
MSEMAJI wa Simba, Haji Manara ameiweka klabu yake katika nafasi ya hatari baada ya kulishambulia Shilikisho la soka Tanzania (TFF), na Kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji, juu ya rufaa ya klabu ya...
View Article