DEMU AMPONZA MCHEZAJI NEW ZEALAND… apigwa marufuku kucheza mchezo mmoja baada...
MCHEZAJI wa timu ya Raga ya New Zealand, Aaron Smith amepigwa marufuku kucheza mchezo mmoja baada ya kuingia msalani na mwanamke katika uwanja wa ndege mjini Christchurch.Hiyo ni kinyume na kanuni za...
View ArticleCHELSEA YAJIPANGA KUMNYAKUA OSCAR DE MARCOS WA ATHLETIC BILBAO
IMEELEZWA kuwa matajiri wa magharibi mwa London, Chelsea wanataka kumsajili staa wa Athletic Bilbao, Oscar de Marcos.Tarifa zimedai kuwa De Marcos anatarajiwa kutua Stanford Bridge wakati wa dirisha la...
View ArticleKOCHA MIKE PHELAN KUKABIDHIWA MIKOBA YA STEVE BRUCE
BAADA ya kuchukua kwa muda kibarua cha Steve Bruce, kocha Mike Phelan anatarajiwa kukabidhiwa rasmi kibarua hicho.Baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa, wamiliki wa klabu hiyo wanataka kumpa mkataba...
View ArticleKIUNGO JOEY BARTON WA RANGERS YA SCOTLAND MATATANI KWA KUCHEZA KAMARI
KIUNGO wa klabu ya Rangers ya Scotland, Joey Barton anakabiriwa na adhabu kwa kucheza kamari kinyume na sheria za soka nchini humo.Barton anatuhumiwa na chama cha soka nchini Scotland kwa kuweka dau...
View ArticleWEST BROM YAANZA KUTETA NA BEKI MARTHIN CACERES WA JUVENTUS
KLABU ya West Brom imeanza mazungumzo ya kumsajili beki Martin Caceres na tayari wameanza mazungumzo na klabu yake ya Juventus.
View ArticleWESTHAM UNITED KUMSAJILI JUMLA SIMONE ZAZA WA JUVENTUS
IMERIPOTIWA kuwa Westham United wanaruhusiwa kumsajili Simone Zaza ikiwa ataichezea klabu hiyo kwa mechi 10. Zaza alitua kwa mkopo Westham akitokea serie A alikokuwa akikipiga katika klabu ya Juventus.
View ArticleMANCHESTER UNITED YAMCHEFUA ILKAY GUNDOGAN
KIUNGO wa Manchester City, Ilkay Gundogan ameiita Manchester United timu isiyo na adabu kwa kitendo ilichomfanyia Mjerumani mwenzake, Bastian Schweinsteiger.Schweinsteiger alijiunga na Man United...
View ArticleMANCHESTER CITY KUMLAMBISHA FERNANDINHO MKATABA MPYA
KWA mujibu wa taarifa, ni siku chache tu zimebaki kabla ya kiungo Fernandinho kupewa mkataba mpya na mabosi wake Manchester City.Mkataba wa sasa wa Mbrazil huyo wa Man City unakaribia kufikia tamati...
View ArticleARSENAL YACHEMKA KWA ELSEID HYSAJ WA NAPOLI
IMERIPOTIWA kuwa Arsenal wameshindwa kumsajili staa wa Napoli, Elseid Hysaj.Kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo, Hysaj ameshasaini mkataba mpya na waajiri wake Napoli.
View ArticleTYSON FURY ASEMA ANATUMIA “PODA” ILI KUJILIWAZA NA “USAKARA”
BINGWA wa ndondi katika uzani mzito duniani, Tyson Fury amesema amekuwa akitumia cocaine ili kumsaidia kukabiliana na matatizo ya kiakili.Bondia huyo wa Uingereza amesema kuwa amekuwa akiugua ugonjwa...
View ArticleMESUT OZIL ATAMANI KUREJEA SANTIAGO BERNABEU
SIRI imefichuka kuwa licha Arsenal kuwa kwenye mazungumzo ya kumpa mkataba mpya staa wake Mesut Ozil, nyota huyo anataka kurejea Santiago Bernabeu.Kabla ya kutua Emirates, Mjerumani huyo alikuwa...
View ArticleREAL MADRID MBIONI KUMNASA GELSON MARTINS WA SPORTING LISBON
WABABE wa Ligi Kuu Hispania, Real Madrid wamekita kambi nchini Ureno wakitaka kumsajili nyota Gelson Martins anayekipiga Sporting Lisbon.Madrid wanataka kuinasa saini ya kinda huyo mwenye umri wa miaka...
View ArticleBURNLEY YAJIPANGA KUMWONGEZEA MKATABA MPYA MICHAEL KEANE
KLABU ya Burnley imeanza mazungumzo ya kumpa mkataba mpya beki wake wa kati, Michael Keane.Keane mwenye umri wa miaka 23 amebakiza miaka miwili katika mkataba wake wa sasa na Burnley.
View ArticleDANNY ROSE ADAI ALAN SHEARER ALIKUWA SAHIHI KUSEMA UINGEREZA INATAPATAPA
BEKI wa kushoto wa timu ya taifa ya Uingereza, Danny Rose amesema Alan Shearer alikuwa sahihi kusema kuwa timu hiyo ya taifa itapatapa baada ya kujiuzulu kwa meneja Sam Allardyce.Anasema kuwa sio jambo...
View ArticleMATTEO DARMIAN AIVUTIA INTER MILAN
WATAWALA wa zamani wa soka la talia, Inter Milan wanavutiwa na mpango wa kumsajili staa wa Manchester United, Matteo Darmian.
View ArticleCONTE AHAKIKISHIWA LEONARDO BONUCCE JUVENTUS ATATUA STANFORD BRIDGE JULAI
MMILIKI wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich amedai kuwa atashughulikia uhamisho wa beki Leonardo Bonucce anayekipiga Juventus.Tajiri huyo amemhakikishia kocha Antonio Conte kuwa mlinzi huyo raia wa...
View ArticleMEMPHIS DEPAY AJIFANANISHA NA ZLATAN IBRAHIMOVIC
WINGA wa Manchestr United, Memphis Depay amejifananisha na straika mpya wa klabu hiyo, Zlatan Ibrahimovic.Depay anajifananisha na mkongwe huyo licha ya kucheza mechi tatu pekee tangu kuanza kwa msimu...
View ArticleWACHEZAJI WABAGUZI KUFANYA MAZOEZI NA WANAWAKE
WACHEZAJI wawili wa timu ya soka ya Sparta Prague wameambiwa kufanya mazoezi na timu ya wanawake baada ya kutoa matamshi ya kiubaguzi dhidi ya maafisa wanawake wanaosimamia mechi.Kipa Tomas Koubek...
View ArticleSANT CAZORLA ACHEKELEA MKATABA MPYA ARSENAL
KIUNGO wa kimataifa wa Hispania anayekipiga Arsenal, Sant Cazorla amedai kuwa angefurahi kupewa mkataba mpya na klabu hiyo.Kauli ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 31 inakuja huku kukiwa na taarifa...
View ArticleDIVOCK ORIGI ASEMA HAKERWI KUSUGULISHWA BENCHI LIVERPOOL
STRAIKA wa Liverpool, Divock Origi amedai kuwa hakerwi na kitendo cha kocha wake kumpiga benchi na badala yake anachokitaka ni ushindi wa timu.Katika mechi saba za Ligi Kuu England, Origi ametokea...
View Article