$ 0 0 IMERIPOTIWA kuwa Westham United wanaruhusiwa kumsajili Simone Zaza ikiwa ataichezea klabu hiyo kwa mechi 10. Zaza alitua kwa mkopo Westham akitokea serie A alikokuwa akikipiga katika klabu ya Juventus.