$ 0 0 IMERIPOTIWA kuwa Arsenal wameshindwa kumsajili staa wa Napoli, Elseid Hysaj.Kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo, Hysaj ameshasaini mkataba mpya na waajiri wake Napoli.