Quantcast
Channel: saluti5
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASAMBAZAJI FILAMU INDIA WAFANYA MGOMO BARIDI "KUWAKATAA" WAPAKISTAN

WASAMBAZAJI wa kazi za sanaa nchini India wameamua kutozingiza sokoni filamu zote za wasanii wa Bollywood ambazo zimewashirikisha wasanii kutoka nchini Pakistan.Uamuzi huo uliofikiwa na Indian Motion...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HANNOVER YAMWINDA BEKI PER-MERTESACKER WA ARSENAL

BEKI wa kati wa Arsenal, Per-Mertesacker, yuko kwenye rada za klabu ya Hannover ya Ujerumani.Hannover wanataka kumsajili mkali huyo ambaye aliwahi kukipiga klabuni hapo miaka kadhaa iliyopita.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW VIDEO: TAZAMA BONGE LA VIDEO YA WIMBO “STAREHE” KUTOKA KWA FAMILY TEAM

MOJA ya vitu vinavyoleta changamoto bab kubwa katika maeguzi ya muziki wa dansi ni huu wimbo “Starehe” kutoka kwa kundi la Family Team.Wimbo huo uliotoka katika njia ya audio miezi michache iliyopita,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEWE NI MWANAMUZIKI WA DANSI? CHANGAMKIA FURSA HII KUTOKA CHOICE FM

KIPINDI cha Choice Bambataa cha kituo cha radio cha Choice FM cha jijini Dar es Salaam, kinakuja na mkakati mzuri wa kuunyanyua muziki wa dansi.Choice Bambataa kimesema moja ya hatua zao za kuusukuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENTEKE AWEKA REKODI MPYA KOMBE LA DUNIA WAKATI UBELGIJI IKIUA 6-0

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Liverpool Christian Benteke ameweka rekodi mpya kwa kufunga goli la mapema zaidi katika historia ya Kombe la dunia.Benteke amefanya hivyo katika mchezo wa kundi H wa kuwania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POBGA AFANYA VITU ADIMU, APIGA BAO LA MITA 30 NA KUIPA POINTI 3 UFARANSA...

MKWAJU wa Paul Pogba wa mita 30 ulitosha kuipatia Ufaransa pointi tatu muhimu dhidi ya Holland katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kupitia kundi A.Kiungo huyo wa Manchester United mwenye thamani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHAUZI CLASSIC KUMAVIA MORO OKTOBA 28 …Dodoma Oktoba 29, Singida na Igunga...

KUNDI la Mashauzi Classic litamimina uhondo wao kwa wakazi wa mji wa Morogoro Ijumaa ya tarehe 28 mwezi huu.Mkurugenzi wa bendi hiyo Isha MMashauzi ameiambia Saluti5 kuwa onyesho hilo litafanyika ndani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESSE LINGARD AINGIA MAWAZONI MWA RASHFORD MANCHESTER UNITED

WINGA wa Manchester United, Jesse Lingard amesema straika yosso wa timu hiyo, Marcus Rashford haathiriwi na presha na kwamba atazidi kuwa mkali kwa klabu na timu yake ya taifa ya England.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA UFARANSA AKIRI POGB ALICHEMSHA MECHI DHIDI YA BULGARIA... amtaka...

KOCHA wa timu ya taifa Ufaransa, Didier Deschamps ameafiki kuwa kiungo wake, Paul Pogba alichemsha kwenye mechi ya ushindi ya Bulgaria mwishoni mwa wiki iliyopita na kumtaka kuboresha kiwango chake.Les...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMES RODRIGUEZ AENGULIWA TIMU YA TAIFA COLOMBIA KWA MAJERAHA YA KIAZI CHA MGUU

NYOTA wa timu ya taifa ya Colombia James Rodriguez ameenguliwa katika kikosi hicho kutokana na kuumia kiazi cha mguu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALEXANDER HLEB AAMINI ARSENAL YA MWAKA HUU ITAZOA MATAJI MATATU

KIUNGO wa Arsenal Alexander Hleb anaamini kuwa kikosi cha sasa cha kocha Arsene Wenger kina uwezo wa kushinda mataji matatu msimu huu.Gunners wamekuwa na mwanzo mzuri msimu huu wakiwa nyuma kwa pointi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJERUHI BACARY SAGNA WA UFARANSA AJIIULIZA KUHUSU JERAHA LAKE

BEKI wa kulia wa timu ya taifa ya Ufaransa, Bacary Sagna, 33, hana hakika kama maumivu ya misuli ya nyama za paja aliyoyapata dhidi ya Bulgaria katikati ya wiki ni makubwa sana.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROMELU LUKAKU AMFAGILIA KOCHA THIERRY HENRY

STRAIKA wa Ubelgiji, Romelu Lukaku amekubali uwezo wa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Thierry Henry na kuongeza kuwa ana mengi ya kujifunza kutoka kwa mkongwe huyo wa Arsenal.Lukaku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJERUHI JORDI ALBA NJE KWA SIKU 10... kurejea kuvaana na Manchester City

BARCELONA wametangaza kuwa Jordi Alba atakuwa nje ya uwanja kwa siku 10 kutokanana maumivu ya paja jambo linalomaanisha atarejea kuwavaa Man City.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INIESTA AFICHUA SIRI YAKE NA KOCHA PEP GUARDIOLA

NAHODHA na kiungo wa mabingwa wa soka nchini Hispania FC Barcelona, Andres Iniesta amefichua siri iliyokuwa ikiendelea kati yake na meneja wa sasa wa Manchester City, Pep Guaridiola wakati wa usajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUBAMEYANG KUCHOMOKA BORUSSIA MWISHONI MWA MSIMU... Manchester City, Chelsea...

STRAIKA Pierre-Emerick Aubameyang aondoka Borussia Dortimund mwisho wa msimu huku akiwindwa na klabu za Manchester City na Chelsea.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL YATHIBITISHA KUENDELEA KUMFUKUZIA ANDREA RANOCCHIA

KLABU ya Liverpool imethibitisha kuwa mpango wao wa kumwania beki Andrea Ranocchia unaendelea kufanywa chinichini ila kwa uhakika mkubwa.Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa uongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SANTI CAZORLA ASEMA ANAVYODHANI WENGER BADO YUPOYUPO SANA TU ARSENAL

KOCHA Arsene Wenger haonyeshi dalili yayote kwamba ataondoka Arsenal licha ya mkataba wake kuwa utamalizika mwishoni mwa msimu huu, kwa mujibu wa kiungo Santi Cazorla.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REAL MADRID, BARCELONA WAPIGANA VIKUMBO KUMWANIA VICTOR LINDELOF

KLABU mahasimu katika La Liga, Real Madrid na Barcelona zimeingia katika vita vya usajili wa msimu ujao na kujikuta wakimwania kwa pamoja Victor Lindelof.Pamoja na vigogo hao wa Ligi ya Hispania, pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"MICHEPUKO" YADAIWA KUSHUSHA KIWANGO CHA ANTHONY MARTIAL MAN UNITED

KUSHUKA kwa  kiwango cha Anthony Martial klabuni Manchester United msimu huu kumehusishwa na kuachana na mpenziwe aliyedumu naye kwa miaka mingi, Samantha Jacquelinet, kufuatia straika huyo kuchepuka.

View Article
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>