$ 0 0 KUSHUKA kwa kiwango cha Anthony Martial klabuni Manchester United msimu huu kumehusishwa na kuachana na mpenziwe aliyedumu naye kwa miaka mingi, Samantha Jacquelinet, kufuatia straika huyo kuchepuka.