REAL MADRID YAMWENDEA KIMYA KIMYA DE GEA
REAL MADRID inakaribia kumnasa kipa David de Gea kutoka Manchester United, limeripoti gazeti la Don Balon la Hispania.Kipa huyo amekuwa akitamaniwa na mabingwa wa Hispania na Ulaya kwa miaka kadhaa...
View ArticleKLOPP AWAFANYIA "KAUZIBE" NAPOLI KWA BEKI WAKE ALBERTO MORENO......
LIVERPOOL wameitupilia mbali ofa ya pauni mil 11 kutoka kwa Napoli wanaomtaka beki Alberto Moreno, mtandao wa Times umedai.Licha ya kutaka kuifanyia marekebisho makubwa safu ya ulinzi, bado kocha...
View ArticleHATIMAYE ARSENAL 'YAMTIA' MKONONI ALEXANDRE LACAZETTE KWA PAUNI MIL 44
Arsenal imefikia makubaliano na klabu ya Lyon kwajili ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette kwa ada ya pauni milioni 44 itakayoweka rekodi mpya ya usajili wa bei mbaya Emirates.Ada...
View ArticleJUVENTUS YAIPIGA BAO LA KISIGINO CHELSEA
WINGA kinda anayetakiwa na Chelsea, Federico Bernardeschi yu mbioni kuondoka Fiorentina na kujiunga na mabingwa wa Italia, Juventus.Kwa mujibu wa gazeti la Corriere dello Sport, Juve inatarajiwa...
View ArticleBENJAMIN MENDY WA MONACO NJIA NYEUPE KUTUA MANCHESTER CITY
BEKI wa kushoto wa Monaco aliye kipaumbele katika listi ya wachezaji wanaotakiwa na Manchester City kiangazi hiki, Benjamin Mendy anaonekana kuwa tayari kujiunga na klabu hiyo.Mendy anahusishwa pia na...
View ArticleBAADA YA NYOSHI KUPATWA KWA URAIS, WAMILIKI WA FM ACADEMIA WASEMA BIASHARA...
Wamiliki wa bendi ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma” wametoa ufafanuzi juu ya kile kilichopekea Nyoshi el Saadat kuvuliwa cheo cha urais wa bendi.Wiki mbili zilizopita Nyoshi alivuliwa cheo hicho...
View ArticleMALKIA WA NYUKI AREJEA MSIMBAZI KUONGEZA NGUVU... aahidi kuipeleka Simba...
KLABU ya Simba inawakusanya matajiri wake wote ili kuongezea nguvu katika kipindi hiki cha kuisuka Simba mpya.Baada ya viongozi wakuu wa Simba, Evans Eveva na makamu wake, Geofrey Nyange “Kaburu”...
View ArticlePICHA 17: CLAUDE ATUA BONGO NA KUPOKELEWA KWA KISHINDO… awaletea Watanzania...
MSANII wa bongomuvi, Issa Mussa “Claude 112” amewasili nchini jana majira ya saa nane mchana akitokea Stockholm, Sweden alikokuwa amepiga kambi ya takriban miaka minne na kuandaa muvi yake iitwayo...
View ArticleKANU NWANKWO KUJENGA HOSPITALI KWA AJILI YA KUMUENZI TIOTE
MCHEZAJI nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Kanu Nwankwo amesema kifo cha hivi karibuni cha mchezaji mashuhuri wa Ivory Coast, Cheick Tiote kinafaa kuwa “funzo” na kuhakikisha hatua...
View ArticleAUDIO: MAZOEA YANANIKONDESHA WIMBO ULIOIBEBA MZINGA TROUPE MIAKA YA 1979
MNAMO mwaka 1979 bendi ilioyokuwa chini ya Jeshi la Anga, Ngerengere mkoani Morogoro, Mzinga Troupe “Wana Jiko Moro” iliachia wimbo huu wa “Mazoea Yananikondesha.”Mtunzi wa wimbo huu ni marehemu Issa...
View ArticleHANS POPPE, MO DEWJI WAKAMATA USUKANI MWENDELEZO WA USAJILI SIMBA
SIMBA wapo kamili gado! ndivyo ambavyo ukiulizwa na mtu yeyote unaweza kusema.Hawana wasiwasi wametulia na wanaendelea na mipango yao ya kusuka kikosi cha ushindi kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao na...
View ArticleMASHABIKI WA YANGA WACHEKELEA DONALD NGOMA KUBAKI YANGA
MASHABIKI wa Yanga wamejawa na furaha baada ya kusikia kwamba klabu yao imefanikiwa kumrejesha tenas kundini straika wake raia wa Zimbwabwe Donald Ngoma aliyekuwa anawaniwa na Simba.Ngoma amesaini tena...
View ArticleWENGER ASEMA LACAZETTE ANA MAMBO YOTE ALIYONAYO SANCHES NA PENGINE KUMZIDI
KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa muuaji wa makipa, Alexandre Lacazette ana mambo yote ambayo Alexis Sanchez anayo na pengine kumzidi, ingawa hana maana kwamba Sanchez ni mshambuliaji...
View ArticleSIMBA YAFANIKIWA KUWASHAWISHI ABDI BANDA, JUUKO MURSHID KUBAKI MSIMBAZI
IMEBAINIKA kuwa mabeki wawili wagumu katika kikosi cha Simba Abdi Banda na Juuko Murshid hawaondoki katika kikosi cha Simba.Awali kulikuwa na wasiwasi kwamba Banda anakwenda kucheza soka nchini Afrika...
View ArticleBADO PAUNI MILIONI 9 MORATA ATUE MANCHESTER UNITED
REAL MADRID imelikataa dau la pauni milioni 70 lililowekwa mezani na Manchester United kwa ajili ya kumsainisha straika Alvaro Morata, ikimtaka Jose Mourinho kufungua tena pochi na kuongeza pauni...
View ArticleLIONEL MESSI KUZEEKEA BARCELONA …mshahara wake ni ‘kufuru’
YAMETIMIA. Staa wa kimataifa wa Argentina, Lionel Messi, amekubali kusaini mkataba mpya utakaomuweka Nou Camp hadi mwaka 2021, akivuta mshahara unaoelezwa kuwa pauni 500,000 kwa wiki, huku kukiwa na...
View ArticleHATIMAYE MWISHO WA WAYNE ROONEY MANCHESTER UNITED WAWADIA
EVERTON inatarajiwa kufanya usajili wa kushtua wiki hii kwa kumrejesha Goodison Park straika wake wa zamani, Wayne Rooney na Olivier Giroud wa Arsenal atamfuata nahodha huyo wa Manchester United....
View ArticleJUVENTUS NA CHELSEA ZATUNISHIANA MSULI KWA ALEX SANDRO
JUVENTUS imempa Mbrazil Alex Sandro ofa ya mshahara wa pauni 84,000 kwa wiki ili asaini dili jipya, wakati Chelsea ikiwa tayari kulipa dau la pauni milioni 61, ambalo ni rekodi ya dunia kwa mchezaji...
View ArticleARSENE WENGER AONYESHA JEURI YA PESA ...Arsenal yaweka ubahili kando
Usajili wa pauni milioni 53 wa Alexandre Lacazette kutoka Lyon kwenda Arsenal, umedhihirisha kuwa klabu hiyo ya London sasa imeachana na ubahili.Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ambaye...
View ArticleHATIMAYE SIMBA DAY KUFANYIKIA MKOANI ARUSHA
MABOSI wa Simba kwa kuthamini thamani ya mashabiki wao wameamua kabla ya msimu huu kuwepo na tamasha lao la kila mwaka siku chache kabla ya Ligi kuanza "Simba Day" kuifanyia mkoani Arusha.Wekundu wa...
View Article