Quantcast
Channel: saluti5
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OMOTOLA JALADE WA NOLLYWOOD ASEMA HANA MPANGO WA MARAFIKI WAPYA

STAA wa filamu nchini Nigeria ambae anatikisa soko, Omotola Jalade amesema kuwa hana mpango wa kuongeza idadi ya marafiki kwa sababu walio wengi huwa wanamchosha akili tu.Omotola amedai kuwa kundi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL KUINASA SAINI YA LACAZETTE KWA REKODI YA KITITA CHA PAUNI MIL 50

ARSENAL wanakaribia kuweka rekodi yao ya usajili kwa kuinasa saini ya Alexandre Lacazette kwa kitita cha pauni mil 50.Taarifa zinasema kuwa mazungumzo baina ya mabingwa hao wa FA na straika huyo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU ZA LIGI KUU UTURUKI ZAMWANIA LUCAS PEREZ WA ARSENAL

FOWADI wa Arsenal ambaye amekuwa akihaha kupata nafasi kikosini Lucas Perez anawaniwa vikali na klabu tajiri za Ligi Kuu Uturuki.Kwa mujibu wa wakala wake, Rodrigo Fernandez, nyota huyo anafukuziwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GIGGS ASEMA IWAPO ROONEY ATAPUNGUZA MAJUKUMU BASI ATABAKI OLD TRAFFORD MSIMU...

KOCHA wa zamani msaidizi wa Manchester United, Ryan Giggs amesema kwamba ana uhakika nyota mwenzake wa zamani katika klabu hiyo, Wayne Rooney anaweza asiondoke msimu ujao endapo atakubali kupunguza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSG YAJIPANGA KUTUMA PAUNI MIL 60 MAN CITY KWA AJILI YA SERGIO AGUERO

MABINGWA wa Ligue 1, PSG, wanajiandaa kutuma ofa ya pauni mil 60 kwa Manchester City wakihitaji huduma ya Sergio Aguero.PSG wanaamini kiasi hicho cha fedha kinaweza kuwashawishi City kumtoa Aguero...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA BOB MARLEY KUMPA KOLABO JAY Z

MTOTO wa marehemu Bob Marley, Damian Marley ameweka wazi kuwa yuko kwenye mipango ya kufanya kazi na rapa Jay Z.Wiki iliyopita rapa huyo alikuwa nchini Jamaica ambapo alionekana akiwa na Damian, hata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHELSEA KUMTANGAZA RASMI BAKAYOKO WIKI HII

CHELSEA wako mbioni kumtangaza kiungo wa Monaco, Tiemoue Bakayoko, baada ya kufikia makubaliano ya dau la pauni mil 35.Kama mambo yakienda sawa, mabingwa hao wa Premier League watamtangaza Bakayoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SASA UNITED IYAAMUA KUFANYA KWELI KWA ALVARO MORATA... yatangaza kumtengea...

KAMA unadhani Manchester United hawana jeuri ya fedha basi hiyo imekula kwako! Mashetani hao hawataki mzaha hata kidogo kwa mchezaji wanayeona ana thamani ya kuitumikia klabu hiyo.Katika kuonyesha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARETH BALE KUGEUZWA CHAMBO YA KUMVUTIA KYLIAN MBAPPE REAL MADRID

KUFUATIA mpango wa Real Madrid kuifukuzia saini ya kinda Kylian Mbappe, vyombo vya habari vya Hispania vinaripoti kuwa Bale anaweza kufanywa chambo katika dili hilo la uhamisho.Madrid wanatafuta fedha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIDDLESBROUGH MBIONI KUMREJESHA VAN PERSIE LIGI YA PREMIER

KAMA mambo yatakwenda kama yalivyopangwa, straika wa zamani wa Arsenal, Robin van Persie atarejea tena kukipiga katika Ligi ya premier.Mpango huu unafanywa na timu ya Middlesbrough ambao wanapigana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLOPP AISHAURI LIVERPOOL KUTAYARISHA OFA "PANA" KWA AJILI YA KYLIAN MBAPPE

JURGEN Klopp ameshauri uongozi wa Liverpool kuandaa ofa nono kwa ajili ya Kylian Mbappe (18), endapo straika huyo ataamua kuhamia England.Mpaka sasa bado kinda huyo ameendelea kusuguana na uongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PEDRO ASISITIZA AZMA YAKE YA KUENDELEA KUBAKI STANFORD BRIDGE

STRAIKA wa matajiri wa Stanford Bridge, Pedro amesisitiza azma yake ya kuendelea kubaki Chelsea licha ya kuwepo na taarifa kuwa anajipanga kwa ajili ya kurejea Hispania.Pedro alijiunga na “The Blues”...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZINEDINE ZIDANE ASISITIZA "SIFIKIRII KUMUUZA GARETH BALE"

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema hafikirii kumpiga bei staa wake Gareth Bale.Zidane amedai kuwa staa huyo wa timu ya taifa ya Wales hashikiki hivyo atabaki Bernabeu.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAPHAEL VARANE AONYESHA DALILI ZOTE ZA KUMFUATA MOURINHO OLD TRAFFORD

TAARIFA za tetesi za usajili za mwishoni mwa juma zinamtaja nyota wa Real Madrid, Raphael Varane kuwa na asilimia kubwa ya kutua katika kikosi cha mashetani wekundu wa Old Trafford.Ukubwa wa tetesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER CITY KUKAMILISHA DILI LA USAJILI WA DANI ALVES WIKI HII

MTANDAO wa Sun umesema kuwa Manchester City wataitumia wiki hii kukamilisha dili la kumsajili beki Dani Alves.Chelsea na Tottenham pia wamekuwa wakiifuatilia huduma ya mkongwe huyo mwenye umri wa miaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER CITY WATAJWA KUMMEZEA MATE STRAIKA ANDRE AYEW WA WESTHAM UNITED

STRAIKA wa Westham United, Andre Ayew anawindwa na matajiri wa jiji la Manchester, Manchester City ingawa kutakuwa na kazi ya ziada kumng’oa.City imekuwa katika mbio za kumsainisha nyota huyo kwa dau...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVERPOOL WAZIDI KUKOMAA NA NABY KEITA WA LEIPZIG

UKISIKIA watu ving’ang’anizi ndio kama Liverpool. Pamoja na kuambiwa kwamba mchezaji Naby Keita hauzwi katika msimu huu, lakini bado wao wanasema kwamba wako tayari kutoa kitita kizito.Wekundu hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAYERN MUNICH WAMVUTIA KASI WINGA YANNICK CARRASCO WA ATLETICO MADRID

BAYERN Munich wanaangalia uwezekano wa kuinasa saini ya winga wa Atletico Madrid, Yannick Carrasco katika dirisha dogo la usajili mwakani.Mbergiji huyo anayetajwa kuwa na thamani ya pauni mil 43,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAVIER HERNANDEZ MBIONI KUREJEA PREMIER LEAGUE

STRAIKA wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez ametajwa kuwa lengo la West Ham United katika dirisha la usajili la kiangazi, lakini kwa mujibu wa gazeti la Bild, klabu hiyo inakabiliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EVERTON YATANGAZA KUMSAJILI MNIGERIA HENRY ONYEKURU NA KUZIPIGA BAO ARSENAL,...

KLABU ya Everton ya Uingereza ambayo itafanya ziara ya kisoka nchini Tanzania mwezi huu, imetangaza kumsajili nyota wa Nigeria, Henry Onyekuru ambaye alikuwa kwenye mkopo wa muda mrefu kwenye timu ya...

View Article
Browsing all 8805 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>