$ 0 0 KLABU ya Arsenal inayohaha kukiimarisha kikosi chake, inamfukuzia kiungo mahiri wa Everton, Idrissa Gueye mwenye miaka 17.