MCHEZAJI WA CAMEROON AANGUKA UWANJANI NA KUFARIKI DUNIA
Kiungo wa Dinamo Bucharest na Cameroon Patrick Ekeng amefariki dunia muda mfupi baada ya kuanguka uwanjani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Romania Ijumaa.Cristian Pandrea, msemaji wa Floreasca Hospital,...
View ArticleJUAN MATA AIPAISHA MANCHESTER UNITED, CHELSEA YALALA 3-2, WEST HAM YAPIGWA 4-1
Manchester United imeongeza matumaini ya kumaliza katika 'top four' ili kucheza Champions League msimu ujao baada ya kuilaza Norwich City 1-0 kwa goli la Juan Mata.Mata alimalizia pasi yenye akili ya...
View ArticlePICHA 26: UZINDUZI WA OGOPA KOPA SI MCHEZO, BURUDANI HADI UTOSINI
Ogopa Kopa Classic Band imezinduliwa kwa kishindo usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Dar Live Mbagala ambapo umati mkuwa wa wapenzi wa muziki ulijitokeza kushuhudia tukio hilo muhimu.Bendi hiyo...
View ArticleLUIS SUAREZ AIPONGEZA LIVERPOOL KUTINGA FAINALI LIGI YA EUROPE
MSHAMBULIAJI wa timu ya Barcelona, Luis Suarez, ameipongeza Liverpool baada ya kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Ligi ya Europe. Livepool imetinga katika hatua hiyo baada ya kuichapa Vllarreal...
View ArticleRONALDO AMMIMINIA SIFA KINDA MARCUS RASHFORD WA MANCHESTER UNITED
Mkongwe wa soka wa zamani Mbrazil, Ronaldo amemmwagia sifa mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford kutokana na uwezo wake. Rashford mwenye umri wa miaka 18, amekuwa mchezaji aliyeweka...
View ArticleGARETH BALE AITABIRIA MAKUBWA MAN CITY MSIMU UJAO... asema kocha Pep...
STRAIKA wa Real Madrid, Gareth Bale, amesema kuwa Manchester City itakuwa tishio msimu ujao, baada ya kutua kwa kocha Pep Guardiola. Guardiola ameshatia saini kuifundisha timu hiyo kuanzia msimu ujao...
View ArticleJAMIE VARDY AONGEZA KUJICHORA TATTOO MWILINI MWAKE
MSHAMBULIAJI nyota wa Leicester City, Jamie Vardy, ameongeza tattoo nyingine katika mwili wake. Vardy ameongeza tattoo hiyo ikiwa ni muda mchache kabla ya kikosi chake kubeba ubingwa wa Ligi Kuu...
View ArticleTOTTENHAM YAANDAA KITITA KWA AJILI YA HARRY KANE MSIMU UJAO
KLABU ya Tottenham Hotspurs, imejipanga kumfanya nyota wake, Harry Kane kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi katika kikosi hicho kuanzia msimu ujao. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22, anatarajiwa...
View ArticleARSENAL, MANCHESTER CITY HAKUNA UBABE …LIVERPOOL YASHINDA 2-0, TOTTENHAM...
Manchester City imeshindwa kutumia vema uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 na Arsenal katika mchezo mkali wa Ligi Kuu ya England.Sergio Aguero alikuwa wa kwanza kuwanyanyua...
View ArticleMANUEL PELLEGRINI ASEMA SASA ANA MASHAKA JUU YA MANCHESTER CITY KUMALIZA...
MANUEL PELLEGRINI amekiri kuwa na “wasiwasi” kwamba Manchester City inaweza kufeli kumaliza ligi katika ‘top four’ na hivyo kuiacha timu hiyo vibaya - bila nafasi ya kushiriki Champions League kwa mara...
View ArticleMANCHESTER CITY WAAMBIWA WALIKUWA WANAZURURA TU UWANJANI DHIDI YA REAL MADRID
STRAIKA wa Stoke City, Jose Luis Sanmartin Mato, aliye maarufu kwa jina la Joselu, amewapiga kijembe mastaa wa Manchester City na kocha wao Manuel Pellegrini kwamba walikuwa “wakizurura” tu uwanjani...
View ArticleRIYAD MAHREZ ASEMA BADO YUPO YUPO LEICESTER CITY
RIYAD MAHREZ amewaambia mabosi wa Leicester City kwamba anataka kubaki na kuongoza kampeni ya klabu hiyo katika Champions League msimu ujao.Makamu Mwenyekiti, Top Srivaddhanaprabha ametoa taarifa hiyo...
View ArticleLOUIS VAN GAAL ‘ATESWA’ NA KIVULI CHA JOSE MOURINHO MANCHESTER UNITED
LOUIS VAN GAAL amekiri kuwa hawezi kuvumilia kupoteza mechi yoyote sasa kama anataka kubaki kuwa kocha wa Manchester United.United imeichapa Norwich City 1-0 na kuweka presha kwa majirani zao...
View ArticleLOUIS VAN GAAL AWA SHABIKI WA ARSENAL KWA MUDA
KOCHA wa Manchester United, Louis van Gaal aliamua kuwa shabiki wa muda wa Arsenal katika mechi ya washika bunduki hao dhidi ya Manchester City iliyopigwa Jumapili na kuisha kwa sare ya 2-2. Kabla ya...
View ArticleWAYNE ROONEY SASA AKERWA KUPANGWA KAMA MSHAMBULIAJI
LOUIS VAN GAAL amekiri kuwa Wayne Rooney hakufurahia alipompanga kucheza kama straika katika mechi waliyoshinda 1-0 dhidi ya Norwich City Jumamosi.Anthony Martial alichaguliwa kucheza nafasi hiyo,...
View ArticleAISHA VUVUZELA: NIMEISUBIRI KWA MUDA MREFU NAFASI YA KUITUMIKIA JAHAZI
Mwimbaji mpya wa Jahazi Modern Taarab, Aisha Vuvuzela amesema aliisubiri kwa muda mrefu nafasi ya kuitumikia bendi hiyo.Vuvuzela aliyasema hayo Jumamosi iliyopita wakati alipofanya mahojiano na kipindi...
View ArticleAYA 15 ZA SAID MDOE: RADIO ONE NA HADHITHI YA MAITI KUPIGA CHAFYA
Niliwahi kusoma kisa moja cha kusisimua cha mtu aliyedhaniwa kufariki, ‘kufufuka’ akiwa kishaingizwa kaburini tayari kwa kuzikwa.Kisa hicho kikasema kuwa wakati mwili ukiwa umeshawekwa kaburini, ndipo...
View ArticlePEP GUARDIOLA AAGA BAYERN MUNICH NA UBINGWA
BAYERN MUNICH wametawazwa kuwa mabingwa wa Ujerumani kwa mara ya 26 wakiwa na mchezo mmoja mkononi baada ya mabao mawili kutoka kwa Robert Lewandowski kuwapa ushindi dhidi ya Ingolstadt.Kikosi hicho...
View ArticlePAUL POGBA ASEMA PAUL SCHOLES ‘NDIO KILA KITU’ KWAKE
PAUL POGBA amekiri kuwa Paul Scholes alikuwa mchezaji ambaye alimsisimua zaidi kutokana na uwezo wake mkubwa dimbani wakati alipowasili Manchester United.Mfaransa huyo alitua Old Trafford akiwa na...
View ArticleTOTTONHAM YAANZA KUJIWEKA PABAYA MBIO ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA
TIMU ya Tottenham Hotspurs imeanza kulegeza mwendo na inaweza kujiweka matatani katika mbio za nafasi mbili za kufuzu moja kwa moja Ligi ya Mabingwa Ulaya. Wakicheza katika mechi ya kwanza bila kiungo...
View Article