$ 0 0 Hivi karibuni Dar Musica Original chini ya Jado FFU, iliachia nyimbo mbili mpya.Mojawapo ni huu hapa “Jibebishe” ambayo ipo katika miondoko ya mduara ingawa mwishoni utakutana na sebene flani tamu.