Muheshimiwa mbunge wa Kigoma mjini'ZITTO KABWE' siku ya tarehe 15/7/016 ametimiza wajibu wake kama kijana wa kiume aliemvisha pete miezi miwili iliyo pita.
Mwanasiasa huyo mahiri mchini jana ameamua kuachana na ukapela na kuamua kuowa binti mwenye asili ya kiarabu amabe kila aliehudhuria kwenye harusi hiyo alimisia kwa aina yake.
Zitto aliamua kufanyia harusi hiyo iliyokuwa ya kifahari kwenye kisiwa cha 'Zanzibar.