THOMAS LEMAR MGUU MMOJA TAYARI UKO LIVERPOOL ...ndiye mbadala sahihi wa...
Liverpool imepiga hatua kubwa katika juhudi za kusaka saini ya Thomas Lemar ambapo imeripotiwa kuwa iko katika hatua za mwisho za kumalizana na Monaco.Mshambuliaji huyo wa Ufaransa amekuwa akiwaniwa na...
View ArticleASIA MZINGA ‘KIRAKA’ WA MASHAUZI CLASSIC, MTOTO WA MWANAMTAMA AMRI …itupie...
Moja ya hazina muhimu kwenye bendi ya Mashauzi Classic ni mwimbaji Asia Mzinga ambaye amekuwepo kundini humo tangu lilipoanzishwa mwaka 2011.Asia Mzinga amekuwa kiraka wa kuimba nyimbo mbali mbali za...
View ArticleGIORGIO CHIELLINI WA JUVENTUS AFICHUA SIRI YAO YA USHINDI DHIDI YA TOTTENHAM
Beki wa Juventus Giorgio Chiellini amesema kuwa waliamini watashinda mchezo wao dhidi ya Totteham na kwamba utulivu ndiyo siri ya mafanikio yao.Juve imeichapa Tottenham 2-1 na kutinga robo fainali ya...
View ArticleALLY CHOCKY AFANYA BONGE LA ‘KOLABO’ NA BEKA FLEVA
Mwimbaji nyota wa dansi, Ally Chocky ambaye mkataba wake ndani ya Twanga Pepeta unaisha rasmi mwishoni mwa mwezi huu, anaendelea kupika nyimbo mpya kali tayari kwa kuanza maisha mapya ya...
View ArticleKWA REKODI HII YA GATUSO ARSENAL HAWACHOMOI KWA AC MILAN EUROPA LEAGUE
AC Milan inaikaribisha Arsenal kwenye mchezo wa 16 bora ya Europa League huku kocha wa wenyeji, Gennaro Gattuso akiwa na rekodi nzuri tangu alipoanza kuifundisha timu hiyo.Gatuso nyota wa zamani wa AC...
View ArticleTOTENHAM YAPEWA MKONO WA KWAHERI KWA KULAMBWA 2-1 NA JUVENTUS …Man City nayo...
Licha ya kunyimwa penalti ya wazi, Juventus wakaibuka vijogoo mbele ya Tottenham kwenye uwanja wa Wembley kwa ushindi wa 2-1 na kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.Timu hizo zilitoka sara...
View ArticleMANCHESTER UNITED ‘KUMSAJILI’ ABDOULAYE DOUCOURE WA WATFORD ILI KUFUKIA...
Manchester United imeingia kwenye mbio za kumsaka kiungo wa Watford Abdoulaye Doucoure ambaye pia anawaniwa na vilabu kadhaa vya Premier League.Nyota huyo wa Kifaransa mwenye umri wa miaka 25 amekuwa...
View ArticleMUONEKANO MPYA WA JOSE MARA WAPOKEWA KWA FURAHA NA MASHABIKI WAKE …kumbe...
Muonekano mpya wa boss wa Mapacha Music Band, Jose Mara, umepokewa kwa furaha na mashabiki wake.Wiki iliyopita Jose Mara ambaye ni mmoja kati ya waimbaji bora wa dansi, aliondoa kichaka chake cha...
View ArticleMUONEKANO MPYA WA JOSE MARA WAPOKEWA KWA FURAHA NA MASHABIKI WAKE …kumbe...
Muonekano mpya wa bosi wa Mapacha Music Band, Jose Mara umepokewa kwa furaha kubwa na mashabiki wake.Wiki iliyopita Jose Mara ambaye ni mmoja wa waimbaji bora wa dansi hapa nchini, alibadilisha staili...
View ArticleKING BLAISE ‘MFALME WA MARAIS’ AWEKA NGUVU ZAKE KWENYE ALBAM YAKE MPYA...
Mwimbaji na mtunzi mahiri King Blaise anayejipapambanua kama Mfalme wa Marais (katikati pichani), yuko mbioni kuachia albam yake mpya.Hii itakuwa ni ‘project’ binafsi nje ya bendi ambapo King Blaise...
View ArticleZINEDINE ZIDANE ASEMA REAL MADRID SASA MOTO CHINI ...awaambia wachezaji wake...
Boss wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema anaamini timu yake imerejesha makali yake baada kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.Magoli ya kipindi cha pili kutoka kwa Cristiano Ronaldo na...
View ArticleJURGEN KLOPP ATEMA CHECHE, ASEMA LIVERPOOL IPO TAYARI KUKUTANA NA TIMU YOYOTE...
Baada ya kuvuka hatua ya 16 bora ya Champions League, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema hajali ni timu gani atakayopangiwa nayo kwenye robo fainali.Liverpool imesonga mbele baada ya kutoka sare...
View ArticlePSG YAMTENGEA MAROUANE FELLAINI MKATABA WA MIAKA MINNE
Miamba ya Ufaransa - Paris Saint-Germain - wanaripotiwa kumwandalia mkataba mnono kiungo wa Manchester United, Marouane Fellaini.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ataondoka Old Trafford kama...
View ArticleHIVI NDIVYO ISHA MASHAUZI AWEKA HESHIMA MOMBASA
Mwimbaji bora wa kike wa taarab Isha Mashauzi “Queen of the best melodies” au Jike la Simba ukipenda, ameweka heshima Mombasa, Kenya kupitia onyesho lake lililofanyika Jumamosi iliyopita.Katika onyesho...
View ArticleTWANGA PEPETA WAJA NA USIKU WA KIJORA …ni Jumamosi hii The Jonz Pub
Miamba ya muziki wa dansi The African Stars “Twanga Pepeta” Jumamosi hii watakuwa na onyesho maalum kwenye kiwanja chao cha nyumbani – The Jonz Pub Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi...
View ArticleDAVID LUIZ MAMBO BADO SIO SHWARI KWAKE, ATAENDELEA KUWA MTAZAMAJI KWA MWEZI...
Chelsea itaendelea kuwa bila beki wake wa kati David Luiz kwa mwezi mmoja zaidi kufuatia maumivu ya goti.Beki huyo mwenye umri wa miaka 30, alikuwa jijini Barcelona, Hispania kwaajili ya kuonana na...
View ArticleREAL MADRID YAITUPA NJE PSG CHAMPIONS LEAGUE …Liverpool nayo yasonga mbele
Real Madrid imetinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuinyuka Paris Saint Germain 2-1 kwenye uwanja wa Parc des Princes.Kwa ushindi huo, Real Madrid inasonga mbele kwa jumla ya mabao...
View ArticleARSENAL SASA HADI HURUMA TIMU ZINAJIPIGIA TU, BRIGHTON & HOVE ALBION CHAKUA...
Huu ni msimu wa shetani kwa Arsenal, vipigo vya mfululizo vinazidi kumiminika kwa vijana wa Arsene Wenger.Brighton & Hove Albion imeichapa Arsenal 2-1 katika mchezo mkali wa Ligi Kuu ya England...
View ArticleOMARY SOSHA AIBUKA NA KITU CHA 'SILAZIMISHI KUPENDWA' NJE YA HALICHACHI CLASSIC
MWIMBAJI tegemeo wa bendi ya mipasho ya Halichachi Classic Modern Taarab, Omary Sosha yuko katika hatua za mwisho za kuachia kazi yake binafsi ya mduara inayokwenda kwa jina la ‘Silazimishi Kupendwa’,...
View ArticleRASHID PEMBE AANZA 'KUPIGA MZIGO' PEKE YAKE BILA BENDI
MPULIZAJI mahiri wa Domo la Bata, Rashid Pembe ‘Profesa’ amesema ameamua kujitumbukiza moja kwa nmoja katika staili ya uburudishaji sehemu mbalimbali bila wasindikizaji, inayofahamika kama ‘One Man...
View Article